Let's makes a wonderfull couple

Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo

Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,

Asanteni
Unataka mpenzi mkristo kwani wewe padri?Mna masharti sana ninui watu.
 
Wenye miaka 25 tumekukosea nn? Mbona unatubagua?
 
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo

Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,

Asanteni
Leoleo au baada ya hii pasaka na eid kupita?
 
Mnataka weusi mnazaa na weupe, kuwaelewa wanawake ni kazi sana.
 
Hivi yule jamaa aliyekuwa anabashiri namba mbili za mwisho za simu za mdada fulani hivi hajauona huu Uzi enhee... hahaaaa
 
Nina miaka 36, hauwezi ukanishushia kidogo...🤔
 
Una tako? Kama hauna inakua ngumu kidogo. Demu kimbaumbau tatizo wanakua na tuhasira sana.
 
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo

Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,

Asanteni
Njoo inbox na picha yako chap chap!
 
Nipo mimi nina miaka 23 tufanye negotiations basi mamy 😋🥰
 
Mwenyezi Mungu akusaidie dada yangu.

Hata kama haita kua kama unavyo tarajia usivunjike moyo maana maisha yanawezekana pia bila mwanaume, naam maisha yenye amani na furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…