NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Unataka mpenzi mkristo kwani wewe padri?Mna masharti sana ninui watu.Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo
Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,
Asanteni