Lets settle this once and for all - hunger in Tanzania

Lets settle this once and for all - hunger in Tanzania

picha haimaanishi chochote, data msema kweli. wewe leta data kuwa nilicho 'posti' si ukweli ama uweke data ya kukanusha mada!
Tanzania ni kama North Korea. watu North Korea wana hali mbaya lakini nionyeshe picha.
Onyesha picha wewe acha ngonjera mbona huko mna mapicha mengi tu na mbavu 2 zenu hata North korea nao picha wanazo hizo hadithi zenu mkapigiane kwenye hivyo vijiwe vyenu vya kupotezea njaa
 
ukiwa na njaa tz yaan wewe sijui usaidiweje aisee..
 
0801KENYA_wideweb__470x273,0.jpg
ona mnavyotia huruma mkija hapa porojo kibao njaa zimewajaa hadi matakoni ndo mana huyo rais wenu akawapa punguzo la unga ili mumpigie kura tu nchi ya kiboya kweli
 
tz propaganda machinery wameitwa ikulu, grapevine zinasema wamepokea kichapo cha umbwa msikitini kwa sababu ya kutolewa jasho na youngD.

***Somesay; I'm bad and thats good, I am not good and thats not bad!
 
on this forum, after the every 2 comments on any topic, a stupid tanzanian will scream how they feed us Kenyans and how they are food self sufficient.
But the fact of the matter is that tz is pyongyang(North Korea) where press freedom is like cancer and therefore any news that would potray the government and country in bad light is killed and the source made to disappear.
The fact of the matter is, the real tz is hungry! according to independent research published by reuters 78% of people had suffered food shortages when the survey was carried out in 2017(in urban areas like (Dar is a slum) and 84% in rural areas like chato.
View attachment 768481
View attachment 768483 View attachment 768487 View attachment 768488 View attachment 768489 View attachment 768490

fyi Kenya suffers from acute food shortages from time to time due to draught and the fact that only 30% of the land mass is arable. But the fact that the above survey found that 78% of tz urban dwellers suffered food shortages(another word for hunger) is truly unbelievable!

***tz propaganda machine, please go thru' the report before muanze kutoa povu hapa. and please remember, this is not about Kenya!

Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials

Study: Most of the Tanzanian population faces real hunger
Wewe huna Akili kabisa hii ripoti ya lini? Na lini umesikia Tanzania wana nchi wanakufa kwa njaa zaidi ya maneno ya wanasiasa kutafuta huruma

Ushasikia kuwa Tanzania wameomba msaada kwa ajili ya njaa au kununua chakula sababu ya upungufu wa chakula ?

Acha ukilaza
 
aisee, naona viboko pale ikulu vimefanya kazi!
utafiti na source nimekuwekea kwahivyo pambana na hali yako! serekali ya 'pyongyang' imezoea kuficha data na kuwapoteza watafiti na wanahabari. hivi karibuni tuta discover mass graves tz.

4.2 million urban dwellers suffer from hunger!
 
Hizo taarifa za mwaka gani?

Yaani nchi ina njaa isiagize chakula ?

Mashirika ya kimataifa yasuoneshe watu wanavyokufa na njaa kama huko kwenye turkana ?

Hizo ripoti za hapo , Kibera hazina maana
 
aisee, naona viboko pale ikulu vimefanya kazi!
utafiti na source nimekuwekea kwahivyo pambana na hali yako! serekali ya 'pyongyang' imezoea kuficha data na kuwapoteza watafiti na wanahabari. hivi karibuni tuta discover mass graves tz.

4.2 million urban dwellers suffer from hunger!
Nyinyi mnaoachia data zimewashibisha hizo .....mpelekeeni uhuru bange huko ikulu labda atawapa vi unga mpitishe siku
 
Onyesha picha wewe acha ngonjera mbona huko mna mapicha mengi tu na mbavu 2 zenu hata North korea nao picha wanazo hizo hadithi zenu mkapigiane kwenye hivyo vijiwe vyenu vya kupotezea njaa
1. Picha munazoquote zingine ni za Somalia na Ethiopia, zingine za refugee camp.

2. Inaeleweka Tanzania kawaida huwa kwenye denial hata reports zinasema hivo. Inaeleweka kuna video za muziki zimekuwa banned kwa kuonyesha umaskini wa Tanzania na hata hamruhusiwi kupost photo za umaskini mitandaoni. Meanwhile in Kenya wananchi huchukua jukumu la kupost umaskini wote wa nchi mitandaoni ndio serikali ichangamke. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na tz.
 
Wewe huna Akili kabisa hii ripoti ya lini? Na lini umesikia Tanzania wana nchi wanakufa kwa njaa zaidi ya maneno ya wanasiasa kutafuta huruma

Ushasikia kuwa Tanzania wameomba msaada kwa ajili ya njaa au kununua chakula sababu ya upungufu wa chakula ?

Acha ukilaza
Kenya lini wakaomba msaada?
 
1. Picha munazoquote zingine ni za Somalia na Ethiopia, zingine za refugee camp.

2. Inaeleweka Tanzania kawaida huwa kwenye denial hata reports zinasema hivo. Inaeleweka kuna video za muziki zimekuwa banned kwa kuonyesha umaskini wa Tanzania na hata hamruhusiwi kupost photo za umaskini mitandaoni. Meanwhile in Kenya wananchi huchukua jukumu la kupost umaskini wote wa nchi mitandaoni ndio serikali ichangamke. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na tz.
Leta uthibitisho acha kubwabwaja mbona inasemekana zinakua nyingi kidume acha maneno ya hivo achia wadada sema kitu leta proof baasi kama nikisema Wakenya wakiume wanapenda kuolewa na kubaka mbuzi hii sio inasemekana hii ni ukweli mtupu sasa wewe acha hizo inasemekana leta vitu vya uhakika
 
Wanatishwa vikali na Magu! Vyombo vya habari vifungwe na civil servants kufutwa wakijaribu kufichua njaa ya Tz!
very soon tutafichua mass graves. yaani 4.2 million urban dwellers suffer from hunger. I can bet my 2 crystal balls kuna mass graves huko.
 
Wanatishwa vikali na Magu! Vyombo vya habari vifungwe na civil servants kufutwa wakijaribu kufichua njaa ya Tz!
Huko mnafumuliwa tu kwenye ardhi yenu mabwana zenu wanawaacha bila hata mashamba mfe njaa kama mbwa koko.... huko hamtishwi mnafanywa kabisa
 
Back
Top Bottom