Lets settle this once and for all - hunger in Tanzania

Lets settle this once and for all - hunger in Tanzania

very soon tutafichua mass graves. yaani 4.2 million urban dwellers suffer from hunger. I can bet my 2 crystal balls kuna mass graves huko.
Mnahangaika kufichua kwani mmeshapalilia hapo kibera mana hilo ni kaburi la mda mrefu sana
 
Ka article kenu ka uchwara mkaandike wenyewe mkasapot wenyewe kakawekeeni kabisa na kipindi cha tv au hadi mabwana zenu wawape tena pesa ya unga ndo mtafanya hivo

images.jpeg


pambana na hali yako!
 
Leta uthibitisho acha kubwabwaja mbona inasemekana zinakua nyingi kidume acha maneno ya hivo achia wadada sema kitu leta proof baasi kama nikisema Wakenya wakiume wanapenda kuolewa na kubaka mbuzi hii sio inasemekana hii ni ukweli mtupu sasa wewe acha hizo inasemekana leta vitu vya uhakika

Ni vile Kenya kunao uhuru wa kujieleza na kuandika habari! Tunayo pia "citizen's journalism"ambapo yeyote yule kupitia mitandao
ya kijamii au popote anaweza andika habari sahihi na kung'amuliwa na vyombo vikuu na habari kuenea! Huko kwenu Tz balaa!
 
Ni vile Kenya kunao uhuru wa kujieleza na kuandika habari! Tunayo pia "citizen's journalism"ambapo yeyote yule kupitia mitandao
ya kijamii au popote anaweza andika habari sahihi na kung'amuliwa na vyombo vikuu na habari kuenea! Huko kwenu Tz balaa!
Ingekua balaaa ungekuwepo hapa hili ndo jumba linawakutanisha binadamu wote wa Afrika mashariki na kondoo kadhaa wa huko Kenya hapa ndo mtakuja
 
Husomi hapo wengi hawana kias cha kutosha ila sio kwamba hawana kabisa kama huko na hio ilitokea sababu ya hali ya hewa tu ila huko kwenu njaa na mkenya ni ndugu wakuzikana
Number of Kenyans going hungry doubles to three million


Na mlivyokua mabwege mkipata vinguvu kidogo vya unga wa msaada badala mkalime mnaenda kubaka wanyamaView attachment 768870

images.jpeg


data braza inasema kuwa 4.2 million urban dwellers in tz suffer from hunger. miji ya tz watu wanao umia njaa wamezidi idadi yote kenya. huko mashinani kama chato, idadi inaongezeka hadi 84%. sijui nikuchemshie hii data unywe kama supu ndio uelewe...
 
View attachment 768872

data braza inasema kuwa 4.2 million urban dwellers in tz suffer from hunger. miji ya tz watu wanao umia njaa wamezidi idadi yote kenya. huko mashinani kama chato, idadi inaongezeka hadi 84%. sijui nikuchemshie hii data unywe kama supu ndio uelewe...
1471866_217070871806236_1981402848_n.jpg
1471866_217070871806236_1981402848_n.jpg
1471866_217070871806236_1981402848_n.jpg
data zinasema hawana chakula cha kutosha hazisemi hawana wakati huko hamna kabisaa mnaishia kufyonza magundi tu kupitisha siku
 
data zinasema wewe na wenzako 4.2million hapo Dar mnaugua njaa. hivi umetia kitu ndani leo?? ikubali hali yako usaidike.
0801KENYA_wideweb__470x273,0.jpg
anaehitaji msaada anajulikana ndo mana hadi wakapewa punguzo la unga wachague rais
 
moto umezidi pale ikulu, mpaka sasa kuna watu wamezima simu zao. thread za YoungD ni moto wa kuotea mbali.
IMG_20180507_120124_791.JPG
 
Tulishawaambia huu upande wenu ni banda letu la kuku tutafanya tutakalo na nyie makuku mtulie tu
 
nilikuambia recycled photos hazitakusaidia. now let's do the math....
Dar has a population of 5.29 million 78% of them suffer from hunger.

5,290,000x78%= 4,126,200 😱

yaani naweza kuwa na argue na mtu ambaye hajala chochote siku mbili.
Ujue wewe huna akili yani ni mbumbumbu.. There's no shortage of food in Tanzania labda useme wanakaa njaa kwa kutokua na hela ya kununua chakula na Daressalaam ni Urban na hakuna mashamba, and why talking about Dar alone and not Tanzania as a whole??? In Kenya the case is quite different. Kenya yote urban and Rural kuna njaa, hakuna chakula..And never will Kenya produce Enough food for herself, ni lazima mnunue.. Sisi tunajitosheleza kwa vyakula vyote the problem comes to the purchasing power of an individual especially to the urban residents...
 
Tihihihi.... Those southerly neighbors are just but pretentious.... They will deny everything even the obvious.....
 
1. Picha munazoquote zingine ni za Somalia na Ethiopia, zingine za refugee camp.

2. Inaeleweka Tanzania kawaida huwa kwenye denial hata reports zinasema hivo. Inaeleweka kuna video za muziki zimekuwa banned kwa kuonyesha umaskini wa Tanzania na hata hamruhusiwi kupost photo za umaskini mitandaoni. Meanwhile in Kenya wananchi huchukua jukumu la kupost umaskini wote wa nchi mitandaoni ndio serikali ichangamke. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na tz.
Inaeleweka na nani, weka source hapa ya hicho kinachoeleweka
 
Back
Top Bottom