Tengeneza banda la chips au kitimoto kwaajili ya fedha ya ziada....Kulingana na usawa huu ulivyo, na jinsi kipato kilivyo kigumu upatikanaje wake na hata kinapopatinakana hakikidhi mahitaji na hapo hapo unahitajika uweke akiba i wonder how is it possible kwa uchumi huu nilionao!.
My personal story.
Ni kijana nmeajiriwa mahali mshahara wangu ni Tsh 250,000 per month najitegema lakini bado sijaoa! Kwa muda sasa nmekua nikipambana kufanya savings kwa sabab najua umuhimu wake hasa kwa wakati wa shida na pia hata kama si wakati wa shida unaweza jiwekea akiba ili uweze kufikia malengo flani ya kiuchumi like kupata mtaji wa kuanzisha biashara e.t.c! Lakini mambo yamekua si rahisi hivyo mshahara haunitoshi kulingana na mahitaji niliyonayo na pamoja na kujitahidi kujibana na kwa maana hiyo haufiki hata mwisho wa mwezi hua nakaaga natafakari hivi kwa mtindo huu mshahara kutotosha ikitokea nimeachishwa kazi sasa hivi ka akiba kangu kadogo ninakojiwekea kanauwezo wa kunitosha hata kwa wiki mbili zaidi kweli??
Nmeuleta uzi huu wa changamoto zangu binafsi kufahamu wenzangu linapofika suala la saving mnakabialiana nalo vipi na je, una kiwango cha kutosha cha saving ikitokea chanzo chako cha mapato mirija imekatwa? Mwenzangu unatumia njia zipi unazoziamini katika kufanya saving? Let me hear from you, let's talk about savings!
Mimi Siku Zote Na Principal Kutokugusa Mshahara,mishahara Ikutane Bank,nahamisha Napeleka Bank B Au Kwenye Mzunguko
Haya Yote Nayaweza Kupitia Kitu Kimoja Biashara Ndogo Tu,nkienda Kazini Natengeneza Juice Kuwauzia,chapati Au Maandazi,(hawanielewagi Sistaduu Wa Haja Nabeba Juice Nahangaika Na Ngano)napata Pesa Ya Kula,kutengeneza Nywele,n.K Mara Nyingi Mshahara Natumia Kulipa Kodi Kufanya Maendeleo,nikaumwa Mwaka Na Kukaa Nyumbani Miaka 2,mpaka Naumwa Nilikuwa Napesa Ya Kujikimu Mwaka Na Nusu,he He He Sasa Naelekea Kupona Kabisa Na Kurudi Kazini,sina Sh Moja Hapa Ila Nina Plan Za Biashara 3 Ndogo Ndogo,moja Kwa Ajili Ya Kupata Mahitaji Ya Nyumbani,nyingine Mahitaji Ya Mwanangu Na Jamaa Jamaa,matanuzi Nyingine Kufanya Saving,mishahara Lazima Ikutane Bank, Na Ofisini Lazima Mnipe Tuhuma Mimi Mwizi
Nmeipenda hii, hili la mishahara kukutana kwa wengine sisi tunaona kama ni miujiza pana dondoo kadhaa hapo nimezipata hasa za biashara ndogo thanks, be blessed!Mimi Siku Zote Na Principal Kutokugusa Mshahara,mishahara Ikutane Bank,nahamisha Napeleka Bank B Au Kwenye Mzunguko
Haya Yote Nayaweza Kupitia Kitu Kimoja Biashara Ndogo Tu,nkienda Kazini Natengeneza Juice Kuwauzia,chapati Au Maandazi,(hawanielewagi Sistaduu Wa Haja Nabeba Juice Nahangaika Na Ngano)napata Pesa Ya Kula,kutengeneza Nywele,n.K Mara Nyingi Mshahara Natumia Kulipa Kodi Kufanya Maendeleo,nikaumwa Mwaka Na Kukaa Nyumbani Miaka 2,mpaka Naumwa Nilikuwa Napesa Ya Kujikimu Mwaka Na Nusu,he He He Sasa Naelekea Kupona Kabisa Na Kurudi Kazini,sina Sh Moja Hapa Ila Nina Plan Za Biashara 3 Ndogo Ndogo,moja Kwa Ajili Ya Kupata Mahitaji Ya Nyumbani,nyingine Mahitaji Ya Mwanangu Na Jamaa Jamaa,matanuzi Nyingine Kufanya Saving,mishahara Lazima Ikutane Bank, Na Ofisini Lazima Mnipe Tuhuma Mimi Mwizi
Sasa ulijikwamuaje mkuu kutoka kwenye huu mtego ambao sisi ndugu zako tumenasa?Kinachowaponza Hamna Vyanzo Vingine Vya Mapato Mnategemea Mshahara,mnabaki Kulalamika Na Kuchukia Kazi,hapo Nlikuwa Nafanya Ofisi Naenda Mpaka Jumapili Mtu Binafsi Napigishwa Mzigo Hatari,ila Najijua Napenda Maisha Mazuri Mbaya Zaidi Mimi Ni Bad Spender
Thanks kwa ushauri mkuu, ngoja niendelee kudunduliza hivi hivi kwa ugumu ugumu ikiwezekana hata kukopa kuhakikisha napata chanzo cha mapato mbali na mishahara ili kinisaidie kukudhi mahitaji mengine ili hata ka hela ka kuweka akiba kapatikane mana kuna leo na kesho...Tengeneza banda la chips au kitimoto kwaajili ya fedha ya ziada....
Nice tips, thanks ntazfanyia kazi!Kuna hii hapaView attachment 741519
Kabla hujawalaumu wanaopita kmy kmy mchango wako mkuu ni upi?Umeuliza kitu sensitive sana ndio maana wadau wanapita kama hawaoni hivi.
Why mnapenda kwenda PM wakati hapa jukwaani ni kuelimishana tu? Toa ulichonacho na wenzio wafaidike au kama una swali uliza hapa upate majibu zaidi toka kwa wadau tofautiNaruhusiwa kuja PM?
Why mnapenda kwenda PM wakati hapa jukwaani ni kuelimishana tu? Toa ulichonacho na wenzio wafaidike au kama una swali uliza hapa upate majibu zaidi toka kwa wadau tofauti
Duuu mwenzio anazungumzia savings not necessarily kufutwa kazi manake anaweza kupata kazi yenye kipato kikubwa zaidi ya hapo ungejikita hapo kwenye saving ingekuwa vema!Hicho unachokiwaza (kibarua kuota nyasi) usiombe kikukute! Cha moto utakiona.