Mimi Siku Zote Na Principal Kutokugusa Mshahara,mishahara Ikutane Bank,nahamisha Napeleka Bank B Au Kwenye Mzunguko
Haya Yote Nayaweza Kupitia Kitu Kimoja Biashara Ndogo Tu,nkienda Kazini Natengeneza Juice Kuwauzia,chapati Au Maandazi,(hawanielewagi Sistaduu Wa Haja Nabeba Juice Nahangaika Na Ngano)napata Pesa Ya Kula,kutengeneza Nywele,n.K Mara Nyingi Mshahara Natumia Kulipa Kodi Kufanya Maendeleo,nikaumwa Mwaka Na Kukaa Nyumbani Miaka 2,mpaka Naumwa Nilikuwa Napesa Ya Kujikimu Mwaka Na Nusu,he He He Sasa Naelekea Kupona Kabisa Na Kurudi Kazini,sina Sh Moja Hapa Ila Nina Plan Za Biashara 3 Ndogo Ndogo,moja Kwa Ajili Ya Kupata Mahitaji Ya Nyumbani,nyingine Mahitaji Ya Mwanangu Na Jamaa Jamaa,matanuzi Nyingine Kufanya Saving,mishahara Lazima Ikutane Bank, Na Ofisini Lazima Mnipe Tuhuma Mimi Mwizi