Lets talk about SEX Jf while am here

Jamani, this is spinning too fast for me, naenda kupumzika
Akinitafuta mtu mwambieni niko jukwaa la mapishi, it is safer.
 
Mods tafwadhalini sana msihamishe huu uzi kule kwenye jukwaa la ngono. Wengine hatuna aksesi huko.

Mie nashangaa toka lini thread ya Utambulisho ihamishiwe Jukwaa
la wakubwa! watakua wameninyanyapaa.:A S angry:
 
Mods tafwadhalini sana msihamishe huu uzi kule kwenye jukwaa la ngono. Wengine hatuna aksesi huko.

watu wakubwa mnaleta mambo ya kikubwa hadharani!!!

Moderator uko busy au hupo humu?

I am following. Kama kuna EXPLICIT SEXUAL CONTENT please report the post and I will remove it. Kwa sasa nadhani sana sana inaweza hamishwa chit chat (if there is no topic debated by all participants).
 
hapo unaninunulia tu case kwa babu teh teh.

hapana, Babu DC anajua me slow learner kwa mambo ya kisasa
Huwa ananielewesha kidogo kidogo, akishindwa na yeye kuelewa basi najua sitaelewa asilani.

hehehe mbona unataka kupandisha bei ya mapapai bana

Heh, mbona yameshapanda bei, hasa yale mekundu hayashikiki tena.
 
I am following. Kama kuna EXPLICIT SEXUAL CONTENT please report the post and I will remove it. Kwa sasa nadhani sana sana inaweza hamishwa chit chat (if there is no topic debated by all participants).

basi wewe bado mtoto mdogo sana!
 
heheeh na akiuliza unatoka wapi nazani jibu sahihi itakuwa "nyuma" si ndio my belavd erotica?

kwa sasa uzi upo katikati.

enhee tuendeleeni na mada wadau, kina kongosho, mwali , ze boss, bwanchuchu nakazalika
Sisi tupo tu, ila naona kitumbua kimeingia mchanga.
Kuna nungayembe amekuja kuvunja mood ya watu hapa.
 
Mwali niko....nikufate wapi

Hata kama uko kigoma nitakuja kwa ajili yako
Mi niko Tanga kwa sasa, Ushongo Mabaoni
Sehem pekee Tanzania yenye maendeleo.
Umemuona Erotica?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…