Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh, kweli hata jina, location, avatar vimeongea.
Tunaongel;ea kitendo gani sasa?
Hahahahaaa umenikumbusha zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKufanyana matusi!!
What is SEX without sexuality? Erotica, be sexual, talk sex!
What are you wearing right now?
Usione nimeuchuna, nivile bado sijarudi mazima tu lakini nitahitaji ripoti kamili kuhusiana na huu mchakato , tayari nina faili yako kamili na ushahidi wa ccttv kwamba umekiuka kanuni za kulindwa. Bodigadi nakuchora tu. lolKongosho na Saint Ivuga ni mtu mmoja. wanapatana sana
Ngoja nimwite klorokwini (Aka bodyguard/deskmate) ndio dawa yake.
Sijafanya chochote, it wasn't me!!! lolUsione nimeuchuna, nivile bado sijarudi mazima tu lakini nitahitaji ripoti kamili kuhusiana na huu mchakato , tayari nina faili yako kamili na ushahidi wa ccttv kwamba umekiuka kanuni za kulindwa. Bodigadi nakuchora tu. lol
Hahahahaaa umenikumbusha zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Enzi za kitoto toto...mh
Sijafanya chochote, it wasn't me!!! lol
Kha! Mkuu Memo, yamekua hayo tena? :shock:Hujafanya matusi??!!
Hii akili ya Nape hii!!!
Sijafanya chochote, it wasn't me!!! lol
Ambitious, I want to invite Erotica for a tea this weekend
What are you doing on Saturday dear? can you go out?
Kama utapotea muda mrefu pita kule kwingineI can trace a bird by smelling a scent of air. Mbona macho yako yanakanusha? lol
Nalog out kesi rasmi itasomwa tena tarehe nitakayolog in, andaa ushahidi wa kutosha lol
Na wewe unataka kuja kunywa chai? Utaboreka...How come you don't ever invite me?