Let's try something (A game): Swahili Vs English

Mimi team English...Ila msicheke kiko Broken

Let's go
Hapa najua ladies wengi watachagua kiingereza na gents watachagua kiswahili
Wewe unajiita "Team English".....unasema "Let's go" kuashiria kuwa mchezo ndio umeanza, alafu unaanza tena kuandika kwa Kiswahili???!!!!!
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
mabata madogo madogo yanaogelea, yanaogelea katika shamba zuri la bustani
yanapenda kutembea bila viatuuu, bila viatuuu, yanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nimependa hii...
 
kwa nini unanitesa?? unaniongelesha kiinglish utadhani umenisomesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani pole but I chose English as my language in this game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…