The "Letter from Birmingham Jail", also known as the "Letter from Birmingham City Jail" and "The Negro Is Your Brother", is an open letter written on April 16, 1963, by Martin Luther King Jr. It says that people have a moral responsibility to break unjust laws and to take direct action rather than waiting potentially forever for justice to come through the courts. Responding to being referred to as an "outsider", King writes: "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere."
Inastaajabisha sana kwamba Martin Luther King Jr., aliyeonekana adui namba moja wa Marekani, sasa almost kila Mwamerika anamshangilia kama shujaa asiye na mfano.
^people have a moral responsibility to break unjust laws and to take direct action rather than waiting potentially forever for justice to come through the courts.^
Dah! Ujumbe huu, watu wachache wanaweza kuuelewa, na wachache sana wanaweza kuuzingatia, na hata wachache zaidi wanaweza kuutekeleza!
Ni mzalendo tu ndiye anaweza kuona thamani na busara ya ukweli huo.