Letter of credit: Faida na hasara zake

malenga wetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
283
Reaction score
198
Wadau amani kwenu.

Letter of credit imekuwa ikitumiwa na wafanya biashara wengi wanaojihusisha na uagizaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya nchi (international trade). Na huwa inatolewa na bank anayotumia mfanya biashara husika (mnunuzi) kwenda kwa bank ya muuzaji wa bidhaa husika alieko nje ya nchi.

Naomba kuelimishwa kuhusu Letter of Credit inavyofanya kazi, faida na hasara zake. Pia risk involved kwenye matumizi ya letter of credit.

Natanguliza shukrani.
 
They are often used in international transactions to ensure that payment will be received where the buyer and seller may not know each other and are operating in different countries. In this case the seller is exposed to a number of risks such as credit risk, and legal risk caused by the distance, differing laws and difficulty in knowing each party personally. A letter of credit provides the seller with a guarantee that they will get paid as long as certain delivery conditions have been met. For this reason the use of letters of credit has become a very important aspect of international trade
 

Asante mdau kwa hii nondo. Pia ningependa kuskia kwa mtu aliewahi kutumia au anetumia utaratibu huu katika bisahara yake. itasaidia knipa mwanga zaidi hasa juu ya "pros and cons"
 

They provide a link between local banks,intermediary banks and the recipient bank.
This is what this means you apply the LÇ through a local bank-it's like a short term loan usually may take 6-12 months duration.This LÇ will go through an intermediary bank due to reasons that the other bank has no knowledge of the client,money laundering factors etc,to some extent it's to protect unnecessary losses that my arise during big business transactions.
Then it would finally rendered to recipient bank and vice versa
There are two types of LÇ
1) Revocable
2) Irrevocable
 

Thaks Replies for your input.
 
Last edited by a moderator:
Any one who has actually used LC in his/her business dealings please share your experience with us.
 
A very useful thread. We need practical experience from anyone who's been using this as a way to make payments internationally.
 
A very useful thread. We need practical experience from anyone who's been using this as a way to make payments internationally.

Bravo Eli79

Someone told me that LC can be used as a form credit, some suppliers are willing to send commodities to a buyer located abroad after being assured by the buyers bank that the buyer will pay the money after selling the particular goods.

I case the buyer receives the goods but refuses to pay for them then his bank will be liable to pay the amount owed to supplier. In return the bank will confiscate the buyer's collateral.


Tunaweza kusema unafanya biashara kwa mali kauli, pesa unalipa baada ya kuuza mzigo.
 
Last edited by a moderator:

JF is like "a moving encyclopedia" or "a house of knowledge" to everyone who wishes to learn and get new experiences.
hakika nafaidika na mambo mengi JF , hebu wadau endeleeni kutupia nondozi.
 
Very much appreciated malenga wetu,
...Nina swali kidogo hapo. Kama mzigo umekuja tuseme bandarini, ni nani anafanya inspection na kuridhika kuwa yeah, the goods are in quality conditions and hence the bank can release money to the seller? Ni bank, mnunuaji au kuna kitengo mahsusi kwa kazi ya kufanya inspection na kupeleka taarifa bank kuwa huu mzigo upo sawa kwanzia quality, quantity na packaging?
Thanx brah kwa kutuelimisha....
 
Last edited by a moderator:

Inategemea na jinsi mnavyofanya biashara kati ya wewe na bank na huyo seller wako.
Kama mzigo umekuja na wewe ukaukagua ni sawa kama mlivyokubaliana unaenda kulipa hiyo pesa wewe, kama hutalipa wewe bank ndo inaingilia kati kulipa wao ila wanakuja kuchukua chao kwako.
Na pia letter of credit inaapply kwa seller, endapo seller ameleta mzigo nje ya makubaliano, wewe una uwezo wa kuclaim hela yako isilipwe ukionesha evidence kuwa mzigo si kama mlivyokubaliana.
 
Last edited by a moderator:
Letter of credic inabana pande zote kwa muuzaji na mnunuzi. Haijalishi nani ame-initiate transaction.
Endapo seller ataleta mzigo ulio nje ya makubaliano na wewe buyer umeshamlipa hela unaweza kupitia benki yako kuclaim hela irudishwe based on the evidence au atume mzigo mpya au mzigo urudishwe kwa gharama ya seller au makubaliano mapya.
 
Bavaria asante kwa maelezo mazuri. Ni kweli kabisa kwamba LC inabana pande zote mbili. Mind you buyer na seller hawafahmiani na wapo nchi tofauti.

LC inambana supplier kutuma bidhaa alizoagiza mnunuzi kuendana na specification. Mnunuzi atarelease pesa pale tu atakaporidhika na bidhaa aliopokea.

Kwa upande mwingine LC inambana mnunuzi kumlipa muuzaji pesa waliokubaliana na kwa muda muafaka baada yakupokea bidhaa husika. Endapo mnunuzi atakataa kulipa hapo bank yake itakuawa liable kumlipa supplier halafu wao watafata utaratibu wa bank kumdai mnunuzi hyo pesa, ikibidi hata kuuza mali zake ziliwekwa kama dhamana (collateral).

Kwa mfanya biashara anaejiambua LC ni tool muhimu ya kukuza biashara hasa kwa wale wenye mitaji midogo,. Pia ni njia ya kujilinda na matapeli hasa pale ambapo mnunuzi na muuzaji hawafahamiani kabisa.
 
Eli79 anayeikagua bidhaa ni mnunuzi, akiridhika nayo anaipa taarifa bank yake iweze kurelease pesa, asiporidhika nayo anaieleza bank yake kwamba wasirelese pesa mpaka pale supplier atakapotuma bidhaa sahihi. Mind you document zakufanya order, invoice, Bill of Lading zote zinapitia bank kwenda kwa muuzaji au kwa mnunuzi.

Kwa hiyo supplier hawezi kudanganya kwamba ametuma mzigo kwa sababu atahitajika kupeleka Bill of Lading kwa bank yake. Na buyer hawez kudanganya kuwa hajapokea mzigo kwa vile document za kusafirisha mzigo nakuclear mzigo bandarini anazipokea kutoka bank.
 
Huduma ya Letter of Credit ipo kwenye bank nyingi lakini huwa hawaitangazi kwa sababu haina faida kubwa kwa bank kama ilivyo kwa mkopo. Cost yakupata LC kwa bank nyingi wanacharge 1% ya invoice amount ya huo mzigo unaoagiza.

Its very much cheaper kulinganisha na mkopo.
 

Can't say anymore.
Thank you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…