malenga wetu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 283
- 198
Wadau amani kwenu.
Letter of credit imekuwa ikitumiwa na wafanya biashara wengi wanaojihusisha na uagizaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya nchi (international trade). Na huwa inatolewa na bank anayotumia mfanya biashara husika (mnunuzi) kwenda kwa bank ya muuzaji wa bidhaa husika alieko nje ya nchi.
Naomba kuelimishwa kuhusu Letter of Credit inavyofanya kazi, faida na hasara zake. Pia risk involved kwenye matumizi ya letter of credit.
Natanguliza shukrani.