Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani.

Inajulikana duniani kote kuwa Wanasiasa wanawadharau sana raia ila wanawaogopa sana Wanajeshi. Ila kwa Tanzania hali ni tofauti. Kiburi cha CCM kimevuka hadi level ya kuwadharau raia na sasa Wanawadharau hadi Wanajeshi. CCM wanawaona wanajeshi kama vikaragosi tu ambao hawawezi kuwafanya chochote.

CCM wanawapangisha mistari hadi Wanajeshi kuwapigisha kura wakati Mifumo yote ya Uchaguzi wameichakachua na vyovyote vile wanajua wao ndo washindi.

Kweli CCM wamevuka level zote za kiburi na kujiamini.
 
OIG1.jpeg
 
Bila Dola CCM isingekuwepo Toka mwaka 1995....
Wizi wa Kura umeanza Toka miaka mingi hata kabla ya mfumo wa NIDA, polisi na wanajeshi ndiyo maadui zetu
 
CCM wanawafanya hadi Wanajeshi wajinga. Wanapiga mistari kupiga kura wakati mifumo yote ya uchaguzi wameihodhi na wanaamua wao ushindi wao uweje.

Kiburi na dharau za CCM kuwadharau hadi wanajeshi sijawahi kukiona popote duniani wanasiasa wakifanya.
Hao wanajeshi nao ni chawa wa ccm wacha watumika hakuna jinsi
 
CCM wanawafanya hadi Wanajeshi wajinga. Wanapiga mistari kupiga kura wakati mifumo yote ya uchaguzi wameihodhi na wanaamua wao ushindi wao uweje.

Kiburi na dharau za CCM kuwadharau hadi wanajeshi sijawahi kukiona popote duniani wanasiasa wakifanya.
Hatuna wanajeshi wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso vinginevyo CCM wasingekuwepo madarakani wakiendeleza uhuni na ufisadi wao.
 
Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani.

Inajulikana duniani kote kuwa Wanasiasa wanawadharau sana raia ila wanawaogopa sana Wanajeshi. Ila kwa Tanzania hali ni tofauti. Kiburi cha CCM kimevuka hadi level ya kuwadharau raia na sasa Wanawadharau hadi Wanajeshi. CCM wanawaona wanajeshi kama vikaragosi tu ambao hawawezi kuwafanya chochote.

CCM wanawapangisha mistari hadi Wanajeshi kuwapigisha kura wakati Mifumo yote ya Uchaguzi wameichakachua na vyovyote vile wanajua wao ndo washindi.

Kweli CCM wamevuka level zote za kiburi na kujiamini.
Kuna mwanajeshi ambaye sio mwanaccm ?
 
Nchi ya Tanzania imewekwa mfukoni mwa ccm na genge Lao tunahitaji uhuru wa kweli.
kitendo cha kuchezea mifumo ya kupiga kura kinaonyesha kuwa Havana mango wa kuiachia nchi hii kwa njia za haki na vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina cha kuwafanya au vinahujumu madhumuni ya kuundwa kwao . CCM hawakuumva nchi hii hivyo Havana hati miliki ya kutawala nchi hii milele au siyo Chama kilichotoka kwa Mungu Kuja kututawala milele ipo siku wataanguka na anguko Lao haliko mbali.
 
Hivi ni ccm ndio wana-access na mifumo ya nida, tume ya uchaguzi au tiss..?
Wanaomtafuta Polepole ni ccm..?
 
Mimi bado najiuliza au TAL ni nabii.
Aliwezaje kua so futuristic n real to this point.

Maana bila yeye, Tusinge fika hapa.

Kwa kweli kuna Kauli watu wanasema alisema JK kua "Bora dtk. Slaa awe Rais ila sio TAL kua Mbunge"

Sasa najua alikua sahihi
 
Tundu Lissu hakuponywa zile risasi 16 kwa bahati mbaya. Huyu Mungu alimuweka hai kulikomboa kweli hili Taifa.
 
Back
Top Bottom