Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
CCM wanawafanya hadi Wanajeshi wajinga. Wanapiga mistari kupiga kura wakati mifumo yote ya uchaguzi wameihodhi na wanaamua wao ushindi wao uweje.
Basi na wao wapumbavuBila Dola CCM isingekuwepo Toka mwaka 1995....
Wizi wa Kura umeanza Toka miaka mingi hata kabla ya mfumo wa NIDA, polisi na wanajeshi ndiyo maadui zetu
Hao wanajeshi nao ni chawa wa ccm wacha watumika hakuna jinsiCCM wanawafanya hadi Wanajeshi wajinga. Wanapiga mistari kupiga kura wakati mifumo yote ya uchaguzi wameihodhi na wanaamua wao ushindi wao uweje.
Kiburi na dharau za CCM kuwadharau hadi wanajeshi sijawahi kukiona popote duniani wanasiasa wakifanya.
Kuna liwaya limoja, mbona umeweka mengi ? Hahahaaaaa
Hatuna wanajeshi wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso vinginevyo CCM wasingekuwepo madarakani wakiendeleza uhuni na ufisadi wao.CCM wanawafanya hadi Wanajeshi wajinga. Wanapiga mistari kupiga kura wakati mifumo yote ya uchaguzi wameihodhi na wanaamua wao ushindi wao uweje.
Kiburi na dharau za CCM kuwadharau hadi wanajeshi sijawahi kukiona popote duniani wanasiasa wakifanya.
Kuna mwanajeshi ambaye sio mwanaccm ?Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani.
Inajulikana duniani kote kuwa Wanasiasa wanawadharau sana raia ila wanawaogopa sana Wanajeshi. Ila kwa Tanzania hali ni tofauti. Kiburi cha CCM kimevuka hadi level ya kuwadharau raia na sasa Wanawadharau hadi Wanajeshi. CCM wanawaona wanajeshi kama vikaragosi tu ambao hawawezi kuwafanya chochote.
CCM wanawapangisha mistari hadi Wanajeshi kuwapigisha kura wakati Mifumo yote ya Uchaguzi wameichakachua na vyovyote vile wanajua wao ndo washindi.
Kweli CCM wamevuka level zote za kiburi na kujiamini.
Hakuna. Si jeshi wala polisi wote ni wana ccm, hii nchi bado ngumu.Kuna mwanajeshi ambaye sio mwanaccm ?
Na Bado kuna watu wanaamini kutakuwa na mabadiliko yatakayotokana na ku comment kwa hasira mitandaoniHakuna. Si jeshi wala polisi wote ni wana ccm, hii nchi bado ngumu.
Basi wote ni wapumbavuKuna mwanajeshi ambaye sio mwanaccm ?
Tundu Lissu hakuponywa zile risasi 16 kwa bahati mbaya. Huyu Mungu alimuweka hai kulikomboa kweli hili Taifa.Mimi bado najiuliza au TAL ni nabii.
Aliwezaje kua so futuristic n real to this point.
Maana bila yeye, Tusinge fika hapa.
Kwa kweli kuna Kauli watu wanasema alisema JK kua "Bora dtk. Slaa awe Rais ila sio TAL kua Mbunge"
Sasa najua alikua sahihi