ishu sio muda boss. Muhimu ni kuwa kama umerudishia udongo ilikupata ‘levo’, basi wakati wa kuchimba msingi hakikisha unaikuta ile ardhi asilia. usichimbe huo udongo uliorudishiwa ukasema ndio umechikba msingi.Habar zenu. Nimefanya leveling mwez January mwaka huu kwenye kiwanja kilichokuwa na mteremko. Kama haitoshi nimemwaga vifusi kadhaa vya udongo ili kusawazisha kiwanja kile kwan hata baada ya kulevo Bado mteremko uliendelea kuwepo .
Kwa wazoefu na wajuzi Ni muda gani mzuri naweza kuanza ujenzi na kusiwe na athar za kutitia kwa jengo?
Sawa mzee wa miongozo [emoji1787][emoji16][emoji23]Ngoja waje kukupa muongozo...
Hivi kiwanja ulipewa bure au ndio vile vya bei rahisi?Habar zenu. Nimefanya leveling mwez January mwaka huu kwenye kiwanja kilichokuwa na mteremko. Kama haitoshi nimemwaga vifusi kadhaa vya udongo ili kusawazisha kiwanja kile kwan hata baada ya kulevo Bado mteremko uliendelea kuwepo .
Kwa wazoefu na wajuzi Ni muda gani mzuri naweza kuanza ujenzi na kusiwe na athar za kutitia kwa jengo?
Kumbe sijaokoa kitu[emoji19] nilidhan baada ya levo nitatumia mawe kidogo Sana. Daah sikushaurisha mapema[emoji30]ishu sio muda boss. Muhimu ni kuwa kama umerudishia udongo ilikupata ‘levo’, basi wakati wa kuchimba msingi hakikisha unaikuta ile ardhi asilia. usichimbe huo udongo uliorudishiwa ukasema ndio umechikba msingi.
Retaining Wall ndiyo SuluhishoSawa nitaiweka
Kwa hiyo unataka kukalisha nyumba kwenye huo udongo ulio back fill itakula kwakoHabar zenu. Nimefanya leveling mwez January mwaka huu kwenye kiwanja kilichokuwa na mteremko. Kama haitoshi nimemwaga vifusi kadhaa vya udongo ili kusawazisha kiwanja kile kwan hata baada ya kulevo Bado mteremko uliendelea kuwepo .
Kwa wazoefu na wajuzi Ni muda gani mzuri naweza kuanza ujenzi na kusiwe na athar za kutitia kwa jengo?
Mimi Ni Dada. Asante nitakutafuta kwa ushaurHabari kaka.
Je, ulitumia engineer au mtaalam wa ujenzi kufanya hilo zoezi?
Nakuhakikishia, umetengeneza changamoto na hapo pesa zaidi itatumika kuitatua.
Kifusi ulichomwanga sio udongo asili hyo ni artificial land, gripping yake sio sio mwaka mmoja, hata hivyo kwa jambo hili muda sio jambo tena.
Kwa ushauri na utendaji wasiliana na wataalam wa Uvimo Civil Group
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp