Elections 2010 Lewis makame apata kigugumizi na jasho alipohojiwa na waandishi wa habari

Elections 2010 Lewis makame apata kigugumizi na jasho alipohojiwa na waandishi wa habari

Minatamani nchi ilipuke kwa vita hii

Mkuu kigogo, upo Tanzania? Maana kuna watu kibao humu wanashabikia tu kwamba tuingie vitani ilihali wao wapo nje ya nchi. Hatua zilizotangazwa na Dr Slaa ni Makini sana. Kwa sasa yaitishwe maandamano haraka ya kupinga matokeo kuendelea kutangazwa na si kutangaza vita. Hivi unazijua cost za vita mkuu?
 
Huyu kenge sijui aliiba mitihani judge wa wapi hajui sheria na anakuwa mwoga ,mshenzi sana anatetemeka temeka nini njia ya mwongo ni fupi sana! Dr kushinda tulijua isingewezekana angeshinda huyu Mshikaji KJ lakini suala la matokeo ya sehemu alizoshinda Slaa kuchelewa kutangazwa makusudi na kumweka Dr Slaa wa tatu nyuma ya Lipumba ni ufisadi ubinafsi na unyama wa hali ya Juu, Bwana Mungu ni mtu wa haki hakika haki haitapotea , shindwa shetani NEC na malaika zake CCM
Katiba ilibadilishwa ili aendelee kuiongoza Tume. Ujue jinsi ambavyo amekuwa anawatumikia watu hawa tokea mwaka 1993.
 
Haaa! Maria Roza na Kigogo namna gani? Siko tayari kuona mke, bibi yangu n.k wanaangamia, kisa eti NEC wamefanya ndivyo sivyo! Tunawakaba koo watupe haki yetu na damu hatumwagi! Watatoa tu haki yetu hata kama hawataki.
 
Mdhalimu huyu Anatakiwa apewe jina Baya Au Tumuite DUDUWASHA KIWETE....
 
Makame huyuhuyu aliisaidia CCM kuiba kura viti vya ubunge DSM mwaka 1995 tukanyamaza. This time amerudia. Kawaida ya mwizi akiiba akfanikiwa, hutamani kuiba chenye thamani zaidi
 
Mkuu kigogo, upo Tanzania? Maana kuna watu kibao humu wanashabikia tu kwamba tuingie vitani ilihali wao wapo nje ya nchi. Hatua zilizotangazwa na Dr Slaa ni Makini sana. Kwa sasa yaitishwe maandamano haraka ya kupinga matokeo kuendelea kutangazwa na si kutangaza vita. Hivi unazijua cost za vita mkuu?

Acha uoga wewe..umesahau kuwa kuna kuzaliwa na baadaye kuna kufa?
 
I dont believe this!!! Hiyo ndio solution yako kwa tatizo hili!!
Na ikifanyika hivyo hivyo 2015 utasema tusubiri 2020???

Elimu ya uraia ianze sasa si kusubiri 2015. nafikiri unaona mabadiliko ya mwamko wa uchaguzi wa 2010 na uchaguzi 1995. changes za haraka haraka katika nchi ni kupitia revolution mambo ya zamani lakini democracy ni pole pole watu wana badilika na system ina accomodate changes otherwise ukitaka kulazimisha itakuwa vurugu tu.
 
It is ashame for aruling party to misbehave to that extent . Jf members those with Slaa Big UP. We shall lebarate this country from the choosen few.
 
Back
Top Bottom