Lexus vs Toyota

Lexus vs Toyota

Kifupi ni kwmba Lexus inazalishwa ndan ya Toyota
 
lexus ni brand ambao ipo chini ya Toyota,ni brand maalum iliyobuniwa ili toyota iweze kushindana kibiashara na brand za kimarekani hasa kipindi hicho ambacho ushindani ulikuwa mkubwa mno,lexus ni luxury for exporting to US,more information please try to google.
 
Mkuu ni heri uka-Google.
Hapa tutaongopeana coz Tz hatuna hata kiwanda cha kuzalisha Baiskeli [emoji3].
Usisahau kutupa mrejesho
 
Kaka unahitaji kufahamu tofauti ya mkono na mguu katika mwili wa mwanadamu Hahahahaaaaaa
 
Lexus luxury "mayai" Kali inauzwa mamba "D" haijarudiwa rangi. Bado linang'aa haina mchibuko hata mwaka Hakuna.

BEI: 22 MILLION.

MAWASILIANO: 0787403768
 
929e10fe8b9f68ce3bd4567a81170ccb.jpg
706595d678bf1e22ad9adf8256f73465.jpg
fdaba7f94d16eb3cfb0b07f32fe007a9.jpg
695a9928a432a246e53c46c29cbfe5c9.jpg
779f0cb4b0c15175446f0e9f25e7bec8.jpg
f3e3f29f683d53cd4d81fce82c7ad4d1.jpg
1ae59ee3705e943479e31c7ff1a64c26.jpg
 
Samahani wakuu naombeni kujuzwa uhusiano kati ya hizi brand mbili
According to Kelly Blue Book sales data, Toyota is down while Lexus is up. That's odd, because, of course, both brands are owned by Toyota, and the vehicles share many common parts.
 
Hawa ndio wanao ifanya bangi kupigwa marufuku na serikali nchi hii[emoji30]
 
Back
Top Bottom