LG plasma 42 inauzwa

LG plasma 42 inauzwa

weka bei.......ningependa kuiona na mimi pia

ok inapatikana mbezi ya kimara,sio tv tu kuna machine ya kufulia na kuoshea vyombo,mziki,friji na friza na vyote vipya kabisa
 
du sina picha na niko mbali nayo sana,na kuuzika hilo halina mjadala itauzika tu hata kama nisingeweka humu

42pc5r_large_l_jpg_4a5688c387.jpg
 
napenda kumsikiliza mtu ananiambia atanipa bei gani ila uzingatie gharama zangu nilizotumia mpaka kufikisha hapo ilipo,utani hauna nafasi
 
jamani naona mnaulizia tv tu hizo machine hamtaki,au mshazoea kuchunika mikono
 
Weka bei mama, uwasaidie wadada wenzako, mimi nikiwa nayo hiyo mpira nitaangalizia nyumbani, siyo bar tena.
 
Weka bei mama, uwasaidie wadada wenzako, mimi nikiwa nayo hiyo mpira nitaangalizia nyumbani, siyo bar tena.

hahahahaaha kama kweli unahitajio nambie ukaione kwanza halafu tutaongea sidhani kama tutaangushana,ila hata siku moja bundi hawezi kuwa popo,kama umezowea kuangalia mpitra bar hata ukinunua hii utaenda bar
 
Mkuu, hauuzi kwa sisi wa mashambani? Naona unasisitiza kuona mzigo kwanza! sasa kwa sisi tulio mbali itakuwa tabu, ngoja nimtume binamu yangu aje anichekie!...teh teh
 
Back
Top Bottom