LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

Chalamila kwenye hili la wanawake sikuangalia hotuba yake yote hivyo siwezi kusema chochote. Ila kupitia kauli yake ya kipumbavu kuhusu wauza uduvi naungana na wanaotaka atumbuliwe. Kwenye hizi nyakati za janga la ajira tunahitaji viongozi wanaoweza kusaidia vijana kwenye harakati zao za ujasiriamali na sio kuwakatisha tamaa. Chalamila angesaidia kutafuta soko kubwa la uduvi ili vijana wanufaike na sio kuwatemea mbovu. Kwa vyovyote vile MAMA SAMIA atamtumbua huyu mjinga kabla ya August.
 
Hawa jamaa Punguani kabisa kwa kudandia hoja, mxsuuu
 

Najaribu kujiuliza hivi Chalamila akitumbuliwa ndio gloves na vifaa vingine vitapatikana mahosptalini? hao LHRC waache unafiki
 
Hawa ni kawaida yao kutoa matamko hata kwa RC wa Arusha walitoa matamko kama haya ya kijingajinga ili waweze kuendelea kupata ufadhili wa mabeberu hawana jipya!
 
Wauza uduvi mlifanyaje??
Alituambia tusicheze na ile kichwa, ana Maamuzi magumu.
Ukiangalia Kichwa chake kilivyokaa huna namna zaidi ya kukusanya uduvi wako na kuondoka kukwepa kuolewa.

Mji mgumu Sana huu.
 
Sifa zimekua nyingi ameamza kuvurugwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…