LHRC: Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54

LHRC: Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.

Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54. Katika kesi za ardhi 66% ni Wanaume lakini Wanawake wamekuwa wakijitokeza zaidi kwenye migogoro ya kifamilia.

Soma Pia: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

 
Mtusamehe jamani umri huo ndio tunajaribu kuweka mambo sawa baada ya kuharibu huko nyuma, afe kipa afe beki lazima kieleweke.
 
Back
Top Bottom