Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kumuhusu msichana mmoja kutoka Dar es Salaam,wilaya ya Temeke, Kata ya Makangarawe, Mitaa ya Msakala na Dovya, karibu na Shule ya Msingi Yombo Dovya.