Li Jinglan Mkalimani wa Nyerere aliyefariki akisubiria malipo ya fidia dhidi ya NHC kwa miaka 19

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC.

Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake.

Pole Bi. Li Jinglan.
 
Duh, aise ingekuwa issue inamhusu watu akina nandymandoga nk
Watu wangeenda mbio

Ova
 
Yaan hadi tsh 1 watu wanadhulumu dah?

Wakat mkalimani wa taifa pale dodoma pamoja na kuboronga siku ya kumuaga dikteta bado alilipwa vizuri tu
 
Huyo mchina alipanga flats za NHC ,NHC Ikapokea malalamiko mchina Ni mkorofi anasumbua wenzake hivo wakambomolea mlango na kumuhamisha, ndipo mchina akaenda mahakamani na kuwashinda NHC ,mahakama ilisikiliza kesi hiyo kupitia ma judge zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti na Mara zote mchina alishinda ila hakuwahi kulipwa
 
Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1 alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC.

Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake.

Pole Bi. Li Jinglan.

Huyu angekuwa swala 5 kuna mdau angeandika mfumo kristo ulivyo dhulumati.
 
Huyo mchina alipanga flats za NHC ,NHC Ikapokea malalamiko mchina Ni mkorofi anasumbua wenzake hivo wakambomolea mlango na kumuhamisha, ndipo mchina akaenda mahakamani na kuwashinda NHC ,mahakama ilisikiliza kesi hiyo kupitia ma judge zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti na Mara zote mchina alishinda ila hakuwahi kulipwa
Bado tunadanganyana eti kikatiba mahakama ndio chombo cha juu kabisa nchini kutoa haki!Afrika bnana
 
Back
Top Bottom