Ni Tsh bilioni 1 na points,jamaa Ana harakaTSH 1??? 🤔 sijaelew
Huyo mchina alipanga flats za NHC ,NHC Ikapokea malalamiko mchina Ni mkorofi anasumbua wenzake hivo wakambomolea mlango na kumuhamisha, ndipo mchina akaenda mahakamani na kuwashinda NHC ,mahakama ilisikiliza kesi hiyo kupitia ma judge zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti na Mara zote mchina alishinda ila hakuwahi kulipwaYaan hadi tsh 1 watu wanadhulumu dah?
Wakat mkalimani wa taifa pale dodoma pamoja na kuboronga siku ya kumuaga dikteta bado alilipwa vizuri tu
Aha sawaNi Tsh bilioni 1 na points,jamaa Ana haraka
Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1 alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC.
Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake.
Pole Bi. Li Jinglan.
Bado tunadanganyana eti kikatiba mahakama ndio chombo cha juu kabisa nchini kutoa haki!Afrika bnanaHuyo mchina alipanga flats za NHC ,NHC Ikapokea malalamiko mchina Ni mkorofi anasumbua wenzake hivo wakambomolea mlango na kumuhamisha, ndipo mchina akaenda mahakamani na kuwashinda NHC ,mahakama ilisikiliza kesi hiyo kupitia ma judge zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti na Mara zote mchina alishinda ila hakuwahi kulipwa