Libarikiwe sana tumbo lililomzaa Messi

Libarikiwe sana tumbo lililomzaa Messi

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Huyu njiti kutoka kule Rosario Argentina, tarehe kama Ya Leo alizaliwa.

Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga.
Na kuwatupa mkono, Lakini Aghlabu Tumeshuhudia kilichomo kwenye Miguu yao.

Nyavu zinacheza singeli, mabeki Na makipa ni magagasiko yanawakumba.

Huyu Messi ni Admin wa Mpira kabisaF. uraha yangu ni kuishi nikimwona Akicheza, sijasimuliwa popote.

HAPPY BIRTHDAY LEO

LIBARIKIWE SANA TUMBO LILILOMZAA MESSI

Screenshot_20210624-105746.png
 
Huyu njiti kutoka kule Rosario Argentina ,Tarehe kama Ya Leo alizaliwa

Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga .
Na kuwatupa mkono , Lakini Aghlabu Tumeshuhudia kilichomo kwenye Miguu yao.
Nyavu zinacheza singeli ,mabeki Na makipa ni magagasiko yanawakumba.

Huyu Messi ni Admin wa Mpira kabisa
Furaha yangu ni kuishi nikimwona Akicheza ,sijasimuliwa popote

HAPPY BIRTHDAY LEO

LIBARIKIWE SANA TUMBO LILILOMZAA MESSI

View attachment 1828562
Kuna siku naamini waargentina watakubali Messi ni zaidi ya Maradona labda akifa labda lakini kisa tu hajacheza muda mrefu nyumbani ndio maana hawamueshimishi zaid ya Maradona lakini Messi ni zaidi ya Maradona
 
Sjui ni Lini ,Pengine hata mwaka huu labda wanaweza kukubali akiwaleta Copa, Shida ni Hatujui ni Lini.

Messi ni bora kuliko Diego naunga Mkono
 
Kuna siku naamini waargentina watakubali Messi ni zaidi ya Maradona labda akifa labda lakini kisa tu hajacheza muda mrefu nyumbani ndio maana hawamueshimishi zaid ya Maradona lakini Messi ni zaidi ya Maradona
Ngumu mnoo hii kama hajawapa kombe hilo moja, pili anaonekana haipiganii haswaa nembo ya taifa, ukifananisha na mwendazake maradona, kwake ilikuwa ni majozi, jasho na damu.

Ngumu saana, narudia tena ni ngumu saana.
 
Aiseee
 
Huo utumbo siyo kitu kwa mtaalamu cristiano, yaan kusema huyu mesi wenu eti ni GIANT OF ALL TYEM utumbo wanyau kabisa.
 
Labda kuna Sababu nyengine lakini kusema kwamba hapambanii timu siliafiki mkuu Messi anaongoza pale argentina ana mabao 78 kama sijakosea na ndie mfungaji wa muda wote unasemaje hapambani?
 
sijui umejua chanzo cha komenti hiyo, Hayo sisemi mimi, ni wa Argentina wenyewe wanavyomtafsiri..
 
Huo utumbo siyo kitu kwa mtaalamu cristiano, yaan kusema huyu mesi wenu eti ni GIANT OF ALL TYEM utumbo wanyau kabisa.
Unacoment ukiwa ndani ya utumbo wa nyau, wewe bila shaka yoyote utakuwa mavi ya utumbo wa nyau.
 
Messi the Greatest Footballer of All Time
The greatest footballer without International credentials is yet to be born!! Messi has failed to enable his country to aquire International glory by failing to win World cup or copa america cup!! In Argentina Maradonna will ever remain to be admired above any other player in his country to date!! He brought glory to his country by substantial contribution to bring the world cup!!! Messi atabakia kuwa kijana mzuri na mburudishaji katika soka, lakini linapokuja suala la kujiunga kwenye kundi la wanaume soka Messi bado na uzee unamnyemelea kwa kasi!! Amebakiza mwaka huu ajaribu kushinda kombe la copa america na mwakani ajaribu kushinda kombe la dunia!! Simwoni Messi akihimili mikiki mikikiki ya soka miaka minne ijayo!! Messi aliyekuwa aliyekuwa na uwezo wa kufunga zaidi ya goli moja kwa mechi moja leo anahitaji mechi tatu kufunga goli moja!!!
Kama Messi akifanikiwa kubeba ndoo ya copa america mwaka huu au kombe dunia mwakani hapo ndipo tutaweza kumweka kundi moja na magwiji wa soka duniani kama Maradona, Pele G. Muller nk, Cristiano Ronaldo nk.
 
Messi ndio bora period. Hizi ni ngonjera za his critics tu na wale wasitaka ufalme wao uanguke
 
Kama Tumbo Lilikomzaa Messi Litabarikiwa. Je, tumbo Lililombeba Kwa Miezi Tisa Likimpa Fursa Ya Kufanya Makeke Humo Humo The Last Football Apostle Ronaldinho Gaucho Lifanywe Nini?
 
Messi ndio bora period. Hizi ni ngonjera za his critics tu na wale wasitaka ufalme wao uanguke
Mfalme asiyemiliki dola hajawahi kutokea kadhalika mfalme wa soka asiyemiliki taji kubwa la kimataifa kama world cup hajawahi kutokea period ! Bila taji la kimataifa Messi atabakia kuwa kafalme kwenye soka la wavulana, lakini ufalme kwenye soka la wanaume unasimikwa kwa mataji ya kimataifa kama world cup, Euro cup na Copa America cup!! Huko kote ni maji marefukwa Messi!!! Ataendelea kuwapigia makofi tu kina Pele, Maradona, Ronaldo mkubwa (the phenomenon) na Cristiano Ronaldo!!
 
Sawa kutokana na maelezo yako hata Edar ni mfalme wa soka yule aliefunga goli fainali za Euro 2018.
 
Back
Top Bottom