Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Admin wa MpiraHeri ya siku ya kuzaliwa kwa Lionel Andres Messi "La Pulga" Mchezaji bora wa muda wote toka Ulimwengu umeumbwa.
Kuna siku naamini waargentina watakubali Messi ni zaidi ya Maradona labda akifa labda lakini kisa tu hajacheza muda mrefu nyumbani ndio maana hawamueshimishi zaid ya Maradona lakini Messi ni zaidi ya MaradonaHuyu njiti kutoka kule Rosario Argentina ,Tarehe kama Ya Leo alizaliwa
Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga .
Na kuwatupa mkono , Lakini Aghlabu Tumeshuhudia kilichomo kwenye Miguu yao.
Nyavu zinacheza singeli ,mabeki Na makipa ni magagasiko yanawakumba.
Huyu Messi ni Admin wa Mpira kabisa
Furaha yangu ni kuishi nikimwona Akicheza ,sijasimuliwa popote
HAPPY BIRTHDAY LEO
LIBARIKIWE SANA TUMBO LILILOMZAA MESSI
View attachment 1828562
Sjui ni Lini ,Pengine hata mwaka huu labda wanaweza kukubali akiwaleta Copa, Shida ni Hatujui ni Lini.Kuna siku naamini waargentina watakubali Messi ni zaidi ya Maradona labda akifa labda lakini kisa tu hajacheza muda mrefu nyumbani ndio maana hawamueshimishi zaid ya Maradona lakini Messi ni zaidi ya Maradona
Ngumu mnoo hii kama hajawapa kombe hilo moja, pili anaonekana haipiganii haswaa nembo ya taifa, ukifananisha na mwendazake maradona, kwake ilikuwa ni majozi, jasho na damu.Kuna siku naamini waargentina watakubali Messi ni zaidi ya Maradona labda akifa labda lakini kisa tu hajacheza muda mrefu nyumbani ndio maana hawamueshimishi zaid ya Maradona lakini Messi ni zaidi ya Maradona
AiseeeNgumu mnoo hii kama hajawapa kombe hilo moja, pili anaonekana haipiganii haswaa nembo ya taifa, ukifananisha na mwendazake maradona, kwake ilikuwa ni majozi, jasho na damu.
Ngumu saana, narudia tena ni ngumu saana.
Labda kuna Sababu nyengine lakini kusema kwamba hapambanii timu siliafiki mkuu Messi anaongoza pale argentina ana mabao 78 kama sijakosea na ndie mfungaji wa muda wote unasemaje hapambani?Ngumu mnoo hii kama hajawapa kombe hilo moja, pili anaonekana haipiganii haswaa nembo ya taifa, ukifananisha na mwendazake maradona, kwake ilikuwa ni majozi, jasho na damu.
Ngumu saana, narudia tena ni ngumu saana.
sijui umejua chanzo cha komenti hiyo, Hayo sisemi mimi, ni wa Argentina wenyewe wanavyomtafsiri..Labda kuna Sababu nyengine lakini kusema kwamba hapambanii timu siliafiki mkuu Messi anaongoza pale argentina ana mabao 78 kama sijakosea na ndie mfungaji wa muda wote unasemaje hapambani?
The Greatest Of All Time (GOAT?Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Lionel Andres Messi "La Pulga" Mchezaji bora wa muda wote toka Ulimwengu umeumbwa.
Unacoment ukiwa ndani ya utumbo wa nyau, wewe bila shaka yoyote utakuwa mavi ya utumbo wa nyau.Huo utumbo siyo kitu kwa mtaalamu cristiano, yaan kusema huyu mesi wenu eti ni GIANT OF ALL TYEM utumbo wanyau kabisa.
The greatest footballer without International credentials is yet to be born!! Messi has failed to enable his country to aquire International glory by failing to win World cup or copa america cup!! In Argentina Maradonna will ever remain to be admired above any other player in his country to date!! He brought glory to his country by substantial contribution to bring the world cup!!! Messi atabakia kuwa kijana mzuri na mburudishaji katika soka, lakini linapokuja suala la kujiunga kwenye kundi la wanaume soka Messi bado na uzee unamnyemelea kwa kasi!! Amebakiza mwaka huu ajaribu kushinda kombe la copa america na mwakani ajaribu kushinda kombe la dunia!! Simwoni Messi akihimili mikiki mikikiki ya soka miaka minne ijayo!! Messi aliyekuwa aliyekuwa na uwezo wa kufunga zaidi ya goli moja kwa mechi moja leo anahitaji mechi tatu kufunga goli moja!!!Messi the Greatest Footballer of All Time
Messi ndio bora period. Hizi ni ngonjera za his critics tu na wale wasitaka ufalme wao uangukeThe greatest footballer without International credentials is yet to be born!! Messi has failed to enable his country to aquire International glory by failing to win World cup or copa america cup!! In Argentina Maradonna will ever remain to be admired above any other player in his country to date!! He brought glory to his country by substantial contribution to bring the world cup!!! Messi atabakia kuwa kijana mzuri na mburudishaji katika soka, lakini linapokuja suala la kujiunga kwenye kundi la wanaume soka Messi bado na uzee unamnyemelea kwa kasi!! Amebakiza mwaka huu ajaribu kushinda kombe la copa america na mwakani ajaribu kushinda kombe la dunia!! Simwoni Messi akihimili mikiki mikikiki ya soka miaka minne ijayo!! Messi aliyekuwa aliyekuwa na uwezo wa kufunga zaidi ya goli moja kwa mechi moja leo anahitaji mechi tatu kufunga goli moja!!!
Kama Messi akifanikiwa kubeba ndoo ya copa america mwaka huu au kombe dunia mwakani hapo ndipo tutaweza kumweka kundi moja na magwiji wa soka duniani kama Maradona, Pele G. Muller nk, Cristiano Ronaldo nk.
Mfalme asiyemiliki dola hajawahi kutokea kadhalika mfalme wa soka asiyemiliki taji kubwa la kimataifa kama world cup hajawahi kutokea period ! Bila taji la kimataifa Messi atabakia kuwa kafalme kwenye soka la wavulana, lakini ufalme kwenye soka la wanaume unasimikwa kwa mataji ya kimataifa kama world cup, Euro cup na Copa America cup!! Huko kote ni maji marefukwa Messi!!! Ataendelea kuwapigia makofi tu kina Pele, Maradona, Ronaldo mkubwa (the phenomenon) na Cristiano Ronaldo!!Messi ndio bora period. Hizi ni ngonjera za his critics tu na wale wasitaka ufalme wao uanguke
Sawa kutokana na maelezo yako hata Edar ni mfalme wa soka yule aliefunga goli fainali za Euro 2018.Mfalme asiyemiliki dola hajawahi kutokea kadhalika mfalme wa soka asiyemiliki taji kubwa la kimataifa kama world cup hajawahi kutokea period ! Bila taji la kimataifa Messi atabakia kuwa kafalme kwenye soka la wavulana, lakini ufalme kwenye soka la wanaume unasimikwa kwa mataji ya kimataifa kama world cup, Euro cup na Copa America cup!! Huko kote ni maji marefukwa Messi!!! Ataendelea kuwapigia makofi tu kina Pele, Maradona, Ronaldo mkubwa (the phenomenon) na Cristiano Ronaldo!!