Mkunduyangu, mkumaalim, mhishimiwa kwelikweli KP, hana raha wala furaha tena, ukiona mtu mkuuubwa mwenye midorali ya kufwa ntu anafikia kuandika ujumbe wa kusema 'asavali nifwe' ujue kazi ipo..!tena kubwa
Nililetaga uzima unaohusu ny..ge, madhara yake nk lakini ukaondolewa fasta..cjui kwanini...!lakini bado ukweli unabaki pale pale, hii kitu ni ugonjwa mbaya kabisa, hauchagui heshima wala cheo, Maskini au tajiri, kasisi wala ustadh..!
Wote walioshindwa kufunga spidi gavana kwenye vifanyio vyao yamewakuta ya kuwakuta, wakapoteza fedha, mali, heshima, uaminifu na hata kuvunjika kwa ndoa na vifungo jela, ni ugonjwa tishio sana tu
Unapata picha gani mheshimiwa mkubwa kabisa ndani ya suti kali na ya gharama, akichojoa mbele ya under 18, ili atimize haja zake za mwili tena kwenye carpet la ofisi nye..g..!kweli hazina adabu
Tuwe tu makini na hili gonjwa jamani, mwanetu kp saivi yuko kikaangoni na hatujui nini hatima yake, nina uhakika hata akila grants chupa nzima lock haitoki..kisa nye..nye...nyg na hayupo pekeyake kwa wk hii kuna wale wanabii wa kule Dom nao