Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Nani huyo?Walter Rodney aliitumia sana maktaba hii.
Huyu dogo aliupata u professor akiwa na miaka 23.Ni Nani huyo?
IHuyu dogo aliupata u professor akiwa na miaka 23.
Walter Anthony Rodney (23 March 1942 – 13 June 1980) was a prominent Guyanese historian, political activist and academic. He was assassinated in 1980.
Alikuwa lecturer pale UDSM mnamo 1966-1968 pia 1970-1973.I
shukrani.
so alikuwa anasoma hapo chuo au alikuwa anakuja kwa Ajili ya library kujisomea au alikuwa lecture?
nahitaji kufahamu na hilo
Duh.Alikuwa Raia wa Taifa gani?Alikuwa lecturer pale UDSM mnamo 1966-1968 pia 1970-1973.
Ni mtunzi wa kitabu maarufu: How Europe Underdeveloped Africa.
I
shukrani.
so alikuwa anasoma hapo chuo au alikuwa anakuja kwa Ajili ya library kujisomea au alikuwa lecture?
nahitaji kufahamu na hilo
Google Ndiyo Nini?Dogo, jifunze kujitegemea kutafuta maarifa. Afadhali nyie MNA Google, sisi enzi zetu ilikuwa mpaka usome encyclopedia au utafute fact book
spoon feedingDogo, jifunze kujitegemea kutafuta maarifa. Afadhali nyie MNA Google, sisi enzi zetu ilikuwa mpaka usome encyclopedia au utafute fact book
du humjui?Ni Nani huyo?
Kwani watu Wote,wewe unawajua?du humjui?
Kuna jamaa kavua viatu (sandals) wakati akipandisha msuli wa shule, hahahahaaaa!
Ha ha ha!Halafu watu iaka hiyo walikua hawana vipara, sio vipara vya asili wala vya kunyoa fresh ya unga. Vipara vilikua kwa baadhi ya ma lecturers kama kina Prof Mmari. Kufuga nywele ndio ilikua mpango mzima
Pamoja na watu kukisoma hicho kitabu..Afrika aliyetaka kuikomboa ni Gadaffi tu ila akambulia MazishiAlikuwa lecturer pale UDSM mnamo 1966-1968 pia 1970-1973.
Ni mtunzi wa kitabu maarufu: How Europe Underdeveloped Africa.
Mkuu hapa sio UDSM,hii ni maktaba ya umma KIBAHA
Unaona kabisa watu wanataka kuelimika. Hawa masoma madesa ni sheeda tupuWalter Rodney aliitumia sana maktaba hii.