Library of University of Dar Es Salaam in 1970

Ni fahari sana kuwa na kizazi hiki JF Bujibuji . kizazi cha watu waliokuwa na akili na kutafuta elimu. Umenikumbusha mbali sana miaka hiyo tunahangaika na abbot na lambert, encyclopedia na mavitabu mengi mengi...

Tulikuwa tunahangaika kutafuta elimu manually...kutembea toka kona moja mpaka nyingine ku discuss na kuazima vitabu. Kizazi hiki kinataka hata uingie google ku search for them. Wakat miaka yetu kesho ingebidi uulize washkaj hicho kitabu anacho nani. Ukiwa mbezi beach unaambiwa anacho benny anakaa ilala au kigogo... Inabid umfate na hujui kama utamkuta au vipi maana hakuna simu.

Leo vijana kila kitu kipo katika vidole vyao na bado ni wavivu... Haishangaz wanakosa nguvu za kiume....

Dogo, jifunze kujitegemea kutafuta maarifa. Afadhali nyie MNA Google, sisi enzi zetu ilikuwa mpaka usome encyclopedia au utafute fact book
 
Tulikuwa na kiu na njaa ya kupata elimu, ufahamu na maarifa.
Vijana wa Leo wanatafuta cheti tu

Back
Top Bottom