Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa

Makundi hasimu yalipambana ndani ya mji mkuu wa Libya, #Tripoli, katika mapigano ya udhibiti wa serikali yaliyotajwa kuwa mabaya zaidi katika kipindi cha miaka miwili na yamezusha hofu ya nchi hiyo kurudi tena kwenye vita na machafufuko

Mgogoro huo wa kugombea madaraka nchini Libya upo kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inayoongozwa na Abdulhamid al-Dbeibah dhidi ya Utawala hasimu chini ya Fathi Bashagha ambaye anaungwa mkono na #Bunge la nchi hiyo.

==========================

Rival factions battled across Libya's capital on Saturday in the worst fighting there in two years as a months-long political standoff burst into urban warfare that threatens to escalate into a wider conflict.

A health ministry source said 23 people were killed in Saturday's fighting including 17 civilians. The ministry earlier said 87 people had been injured.

Sustained fighting in the city over the control of government would likely plunge Libya back into full-blown war after two years of comparative peace that brought an abortive political process aimed at holding national elections.

The standoff for power in Libya has pitted the Tripoli-based Government of National Unity (GNU) under Abdulhamid al-Dbeibah against a rival administration under Fathi Bashagha that is backed by the eastern-based parliament.

Forces aligned with Bashagha tried to take territory in Tripoli from several directions on Saturday, but his main military convoy turned back towards Misrata before reaching the capital, eyewitnesses said.

Dbeibah later posted a video online showing him visiting fighters in the city after clashes stopped.

Fighting had erupted overnight and intensified through the morning, with small-arms fire, heavy machine guns and mortars deployed in central areas. Columns of black smoke rose across the Tripoli skyline and shooting and blasts echoed in the air.

By the afternoon, forces aligned with Bashagha appeared to be converging on Tripoli from three directions. In Janzour in northwest Tripoli, a main access point for some pro-Bashagha forces, local people reported intense clashes.

To the south of Tripoli, witnesses in the Abu Salim district said there was heavy shooting after video circulating on social media, which Reuters could not authenticate, appeared to show a powerful pro-Bashagha commander launching an assault there.

REUTERS
 
Lawama apewe nani?
Nani aliesababisha haya?
Na leo wamekimbia na kuwaachia watu wauwane?
Baada ya kutia fitna na kusambaratisha inchi ya watu hivi ndio na wao watakaa kwa amani kweli?
Hii dhambi watilipa hata kama ni vitukuu vyao,
Hata kama ni baada ya miaka mia nane
 
Lawama apewe nani?
Nani aliesababisha haya?
Na leo wamekimbia na kuwaachia watu wauwane?
Baada ya kutia fitna na kusambaratisha inchi ya watu hivi ndio na wao watakaa kwa amani kweli?
Hii dhambi watilipa hata kama ni vitukuu vyao,
Hata kama ni baada ya miaka mia nane
Wa Libya watajuta
 
Lawama apewe nani?
Nani aliesababisha haya?
Na leo wamekimbia na kuwaachia watu wauwane?
Baada ya kutia fitna na kusambaratisha inchi ya watu hivi ndio na wao watakaa kwa amani kweli?
Hii dhambi watilipa hata kama ni vitukuu vyao,
Hata kama ni baada ya miaka mia nane
Waliosababisha ndio wanaomlalamikia urusi Sasa hivi na kuhamasisha vikwazo dhidi yake
 
Lawama apewe nani?
Nani aliesababisha haya?
Na leo wamekimbia na kuwaachia watu wauwane?
Baada ya kutia fitna na kusambaratisha inchi ya watu hivi ndio na wao watakaa kwa amani kweli?
Hii dhambi watilipa hata kama ni vitukuu vyao,
Hata kama ni baada ya miaka mia nane
Gaddafi na genge lake la udikteta na ugaidi ndio walaumiwe kwa kuwasababidhia mateso haya walibya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wala hujui source ya vita yenyewe, umekimbilia kumtuhumu gadafi gaidi, ila chuki hizi!! Wazungu watu wema eti!!
Hakuna mtu mwema duniani..kila mtu hufanya kwa maslahi yake binafsi.

Kuhusu Gaddafi hilo liko wazi ndiye wakulaumiwa kwa haya madhira wanayoyapitia walibya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom