Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

Hakuna mtu mwema duniani..kila mtu hufanya kwa maslahi yake binafsi.

Kuhusu Gaddafi hilo liko wazi ndiye wakulaumiwa kwa haya madhira wanayoyapitia walibya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Na kama asingeuawa yangetokea yote haya!! Walibya wanajuta, wewe mbongo upo huku wala huelewi kinachoendelea, eti hakuna mtu mwema duniani, sometimes uwe unakaa kimya, sio kila kitu kwa mzungu ni kizuri.
 
Kwahiyo huyo Gaddafi angeishi milele..?shida yenu huwa mnaamini magaidi na madikteta yataishi milele..na mengi huwa hayaandani mazingira ya wataokao endeleza uongozi wa nchi badala ya wao kufariki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom