Bomu aloliunda GADDAFI kwa mikono yake ndio linalipuka sasa. Kwa watu ambao hawajafanya tafiti kuhusu ideology za ghadafi au wanaazi wa dini watanishangaa sana lakini ukweli ndio huo.
[emoji3504] Alitengeneza taifa la wajinga lisilokuwa na demokeasia akiamini ataishi milele kuwaongoza walibya kwa remove control lakini kumbe isinge wezekana
[emoji3504] Alikuwa anatumia fedha za mafuta kupika na kutengeneza migogoro kwenye nchi nyingine ili kufanikisha idiology yake ya kuibadilisha Africa na dunia wafuate itikadi zake za kidini
[emoji3504] Alijenga nyumba nyingi sana za dini yake hata maporini kusikoishi watu akiamini kuna siku watu watalazimishwa na vikundi alivyovianzisha na kuvifadhili kwenda kujaza nyumba hizo. Alikuwa mstari wa mbele kununua baadhi ya wanasiasa ili ajenda yake ipenye kama alivyokuwa anamtumia. Nduli Idd amini kwenye vita ya uganda kumpa silaha na kutuma wanajeshi wake kuja kutupiga Tanzania kwenye vita ya uganda lakini haikuwezekana.
[emoji3504] Alikuwa anawalambisha pipi vijana wa Libya mazee mazima kwa kuwajengea vijumba na kuwalipia mahari ili yawe majinga yasipate nafasi ya kuhoji rasilimali za nchi yao alizokuwa anazitumia.vibaya kufadhili vikundi hatarishi kwenye nchi nyingine akiamini kuwa hao walibya wangeendelea kuwa wajinga daima lakini BOb marley alishaimba kuwa" .....You can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the times:"
[emoji3504] Hiki ndio kinachotokea sasa yale majinga aliyokuwq anayalipia mahari na kuyajengea vijumba sasa yameamka yanadai mgao sawa wa rasilimali za nchi yao, awe angekuwepo au asiwepo kama sasa hivi hiki kinachotokea lazima kingetokea ilikuwa ni suala la Muda tuu
[emoji777] Huyo gadafi ndiye aliye kodi makahaba kwa fedha nyingi na kwenda kwenye mji wa itally kudhihaki ukristu
[emoji777] Huyu ndiye aliyetuma wanajeshi wake kuja kumwaga damu.sisizo na hatia za watanzani
[emoji777] Huyo ghadafi alianzisha migogoro mingi kwenye nchi nyingine na kwa siri kuanzisha na kufadhili vikundi vingi vinavyosumbua leo akiwa na idea ya umoja wa afrika yankidini yake
[emoji3532] Bomu alilolitengeneza ndio hiloo.linalipuka, alidhani wananchi wake wangeendelea kuwa kama wafuasi wa zumaridi wa kulishwa chakula wakati fedha zote wanamwachia yeye sasa bomu linawalipukia waliorithi utawala wake