Libya: Waandamanaji wadaiwa kuchoma sehemu ya jengo la Bunge

Alaaniwe Gaddafi kwa kuharibu mifumo yote ya Kitaasisi ya hiyo nchi ili aitawale anavyotaka. Madikteta yakiondoka popote huacha ombwe na vurumai kubwa nyuma yao. Hata Iddi Amin alipoondolewa Uganda nchi hiyo ilipitia vurumai na misukoko mingi sana kabla ya kuwa stable.
Libya walitaka democracy. Ndo hii wanaifaidi
 
Mbona nje ya mada mzee umecopy na kupaste wapi mzee
Nje ya mada? Una ubongo kweli au ni mauchafu mengine yamejazwa kichwani kwako?

Tafsiri ya nilichoandika KINACHOTOKEA LEO LIBYA NI MATOKEO YA UONGOZI MBOVU WA KIDIKTETA AMBO ULIANDAA TAIFA LA WAVIVU NA MIUNDO MIBOVU YA UONGOZI
 
Magaidi yote huwa yanaharibu akili za watu..ila matokeo yake hua ndio hayo..Gaddafi alizani yeye ni immortal kuwa ataishi milele.

Walibya walitaka kitu tofauti ila alichelewa kuwapa..angewapa mapema haya yote yasinge tokea.

a good dancer knows when to leave the stage.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakika, watu wanaangalia tu Walibya walipoangukia badala ya kutazama kwanza walipojikwaa(ambapo ni kwenye udikteta wa Gaddafi)
 
Unaongea nini wewee!!! nani alikuambia panadol inatibu malaria?
Hapo umeongea upuuzi. Kugawa kwake hela ndio kulifanya sasa hivi umeme uwe unakata? Umeme kukata mwaka 2022 na serikali kugawa hela miaka ya kabla ya 2011 vina uhusiano gani
 
Hakika, watu wanaangalia tu Walibya walipoangukia badala ya kutazama kwanza walipojikwaa(ambapo ni kwenye udikteta wa Gaddafi)
Kuwaongoza watu simpo sana..wafanye waamini kuwa wana uhuru wakufanya jambo lolote nchini mwao ikiwa uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.

Yeye alizani kuwapa elimu..nyumba..umeme maji bure ndio kuwaweka chini ya himaya yake..noo noo mwanadamu asili yake ni uhuru ukimpa kila kitu na kumyima uhuru lazima atakuchukia tu.

Ndio mana vuguvugu lilivyo anza ilikua rahisi sana kwa wananchi kuliunga mkono na kumuondoa gadafi madarakani.

Kama alikua anaipenda sana libya angetengeneza system atoke madarakati awachie wengine watale hata kama yeye atatawala kwa mgongo wa nyuma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mjinga kabisa ww
 
Kwa Walibya pana mazingatio, tushukuru kwa kile tulichojaaliwa, na pia thamani ya mtu/kitu haionekani mpaka kiondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…