License ya company limited

License ya company limited

crecknerz

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
88
Reaction score
12
Nilitengenezesha licence ya company mwaka 2011..nikakopa hela bank mpaka nimemaliza deni mwaka huu..now kwa sasa naiuza license au nidanye share na mtu anaehitaji kufungua company kwa kutumia license yng

0717735800
 
hiyo siyo license bali ni certificate of incorporation (cheti cha usajili wa kampuni)
 
Nilitengenezesha licence ya company mwaka 2011..nikakopa hela bank mpaka nimemaliza deni mwaka huu..now kwa sasa naiuza license au nidanye share na mtu anaehitaji kufungua company kwa kutumia license yng

0717735800

wewe hata kujieleza tu hujui ndio utaweza kuendesha kampuni?
 
No nauza sitoendesha tu..sitoendesha mie company just ntashare
 
Back
Top Bottom