ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.
2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii
3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga
4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk
5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.
Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.
My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣
Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.
View: https://x.com/MineNewsAfrica/status/1889174104852336966?t=hJrQmGAtKO4W9dtSST8_6g&s=19