Licha ya Botswana kuwa nchi Tajiri na idadi ndogo ya watu Milioni 2.5 tuu lakini wananchi wake hawana ajira

Pia kumbuka ajira anayowaza Rais wao siyo hiyo unayowaza ya kutembeza Ice scream ya Azam...yeye anazungumzia ajira kama kufanya kazi kwenye viwanda vya kufanya assembling.
Hayo ni ya kwako Mimi sijasema hizo ndio Ajira .

Tanzania Kuna Ajira Bora zaidi ya huko
 
Ile nchi ni nusu jangwa kwaiyo kilimo hakilipi si kama huku zaidi ya70% ni wakulima.
Kwa population ile biashara pia ni ngumu nadhan umeelewa sasa
Kule mazao hayasitawi kulingana na low rainfall ila wanalima Pasture Grass kwa ajili ya mifugo .. inalipa sana unalima unamuuzia mfugaji..
 
Wanapanda majani Kwa irrigation
Mazao ni kitu kingine na majan ni kitu kingine!
Jaribu kufanya utafiti kila zao lina aina ya udongo, hali ya hewa na ph ya udongo.
Si kila yanapomea majan na mazao yatazaa unless unataka utoe majan ya mazao
 
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.

2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii

3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga

4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk

5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.

Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.

View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1885559783597449313?t=x6uQpK_ChAtY5jOxzBsqtA&s=19

My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣

Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.

Tanzania paradiso?

Unahangaika sana kutafuta taarifa za kuhalalisha dhiki iliyopo nchini. Usijidanganye.

Huwezi kulinganisha unemployment ya Botswana na yetu ambayo takwimu zake halali hazijulikani. Hata machinga, maafisa usafirishaji na mama lishe zinahesabiwa ni ajira. Angalia kama Botswana wana hesabu za aina hiyo.
 
🇹🇿 Ni zaidi ya Paradiso.Kama unategemea kazi ya kuzungusha bahasha tuu lazima uone Kuna dhiki.

Mwisho data ndio zinasema sio Mimi.
 
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.

2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii

3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga

4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk

5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.

Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.

View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1885559783597449313?t=x6uQpK_ChAtY5jOxzBsqtA&s=19

My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣

Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.

Acha kelele hakuna unachokijua kuhusu Bostwana
 
Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama. sasa hiyo kazi ya ufugaji anafanya nani kama hawana ajira
 
Back
Top Bottom