Licha ya fitna na kushinda ugenini, Yanga SC kuwasili nchini leo

Jana wote tumeshuhudia yanga wakishinda bao 4-0 ugenini licha ya kufanyiwa vitimbi kibaooo, Leo mabingwa hao watarejea nyumbani saa 3 usiku.

Nyote mnaombwa kwenda kuwapokea airport. Hizo ndo dozi za kutoa ugenini siyo eti kushinda 2-0
sarcasm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Jana wote tumeshuhudia yanga wakishinda bao 4-0 ugenini licha ya kufanyiwa vitimbi kibaooo, Leo mabingwa hao watarejea nyumbani saa 3 usiku.

Nyote mnaombwa kwenda kuwapokea airport. Hizo ndo dozi za kutoa ugenini siyo eti kushinda 2-0
Wewe jamaa, Mada hazina kichwa wala miguu.
 
Walifanyiwa figisu sana ugenini. Ila bado tumeshinda. Watakuja nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…