Elections 2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

Mwaka huu tutavunja record nyingine duniani FISADI awe raisi ?Tanzania my country akitaka aupate uraisi namshauri EL awe muwazi atuaambie hadharani deal la Richmond alipiga na nani huko CCM hiko ndo kizingiti kinachomwangamiza
Ndiyo
 
Thamani yako imeporomoka kama ya Lowassa. Ndo tatizo la kuwa bendera kufuata upepo. Vijana mnaoonekana kuwa na uelewa mkubwa mnajidhalilisha kwa kutumika kama toilet paper. Sasa mnavuna mlichopanda...

hapa hata sijakuelewa mkuu unaweza kufafanua sijaona kosa la pascal ktk huu uzi?
 
Na humu pia ukipita na kusoma comments ndio utajua kwamba matatizo yetu hayapo kwa wapigiwa kura tu, bali yameenda mbali hadi kwa wapiga kura wenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu Pascal Mayalla mwaka huu ukitaka kuweka tetesi za uchaguzi mkuu nitag ili nipate ujiko wa utabiri kwenye vijiwe vya
kahawa 2015 nilikua nadharau tabiri zako
 
Ni kweli, it's true.
P
 
Mayalla unajua Mwangonda ndo alimmaliza lowassa hadi Mkapa akapata wazo kwamba akatwe? Alikuwa kijana planted na Mkapa tokea 2017 japo mkapa na kikwete walikuwa hawaelewani, Na kikwete alianza kumuheshimu Mkapa tarehe 17/10/2010 sababu ntaziweka kwenye Uzi nao andaa
 

Maadam sasa Lowassa ametangulia, huu ni wakati kwa wale wote waliomhujumu, wamuombe msamaha hata wa kimoyo moyo, mtu hata akiwa kifoni, huko ni kwenye ulimwengu wa roho, anaona yote na anasikia yote, hivyo akiombwa msamaha hata wa kimoyo moyo anasamehe.

Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Mwaka huu tutavunja record nyingine duniani FISADI awe raisi ?Tanzania my country akitaka aupate uraisi namshauri EL awe muwazi atuaambie hadharani deal la Richmond alipiga na nani huko CCM hiko ndo kizingiti kinachomwangamiza
Nam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…