Licha ya kupigia upatu ushoga, mmiliki wa Facebook ana mke na mtoto

Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
Max na Mark majina ya kike au kiume?
 
Hivi huyu jamaa si aliuza hiyo FB? Au aliuza hisa tu? Na kama hisa yeye ana hisa %?
Yeye bado ni majority shareholder, ndo anamiliki hisa yingi kuliko individual yeyote sema last year alitangaza kuwa anataka kuzigawa karibu zote
 
Ngoja Max nae akue wadau waanze kumpakua kama atakubali
 
Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii

mshana jr,
Nakuunga mkono na nadhani huyo Msolo ndo kabugg. Max ni kidume wala si jike. Tatizo ni kuwa, hata hiyo kiu ya babake kwenye ushoga, siamini kuwa yeye ni swafi.
Mtoto hutengenezwa tu, aweza kuwa ni mdogo wake kwa midume wenzake. Kupigia chapuo kote huko, huyo mtu si swafi.
 
Jamaa kawachanganya wazungu, watu walikuwa hawamjui demu wake siku akatangaza amepata mtoto, surpriiiiiiise, yuko na chinese woman. Kawakomesha wabaguzi wa rangi kinoma.
 
Asante sana mangatara
 
Nadhani jina ndio limewachanganya, ila Mark na mkewe wamepata mtoto wa kike na si wakiume!
Pitia hii link: A letter to our daughter
 
kuna watu hamjui zaid kuhusu ushoga ushoga ni kufanya mapenz ya jinsia .moja uwe na mke au lah we ni shoga ushoga weng huzan ni kua legelege au kutokusimamisha uume na nk si hivyo kuna kitu kinaitwa bisexuality yaan mapenz ya jinsia mbili watu weng huangukia hapa yaan mke msagaj anasagana na rafiki yake but ana mume wake au so anasex na mume na pia anasagana vilevile mume anaingiliwa na kuingilia mwanaume au mwananke niulize chochote kwa kuniquote kuhusu ushoga
 
Inauma na kuumiza unapoona baba yake anafadhili na kuhamasisha hivyo vitendo utadhani wazazi wa hao vijana wanapenda watoto wao wawe mashoga
Kuna watu wenye nguvu wapo nyuma n Yuma yake wana washinikiza watu maarufu kutangaza ushoga ili kutimiza azma yao ukikaidi usishangae ukapotea kwenye soko!! Kwani yupo wapi Asheem Thabeet?
 
Kuna watu wenye nguvu wapo nyuma n Yuma yake wana washinikiza watu maarufu kutangaza ushoga ili kutimiza azma yao ukikaidi usishangae ukapotea kwenye soko!! Kwani yupo wapi Asheem Thabeet?
Inaumiza sana hii kwakweli hasa kwa sisi wenye watoto wa kiume
 
Umekurupuka Mkuu, huyu mtoto ni wakike, umakini kabla ya kutoa yako maoni unahitajika.
Umekariri mkuu "shoga" inayotafsirika "gay" kwa kiingereza inaweza ikatumika kwa jinsia zote ila lesbian ndo kwa wanawake tu ni vile tu nadhani kwetu huku huenda mapenzi ya jinsia moja yalianzia sanasana kwa me ila yuko sahihi
 
Wenzetu wako mbali, kitoto kichanga kinaonyeshwa masomo ya sayansi, mmmh, lazima awe mwana sayansi huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…