komamgo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 1,757
- 1,483
Max na Mark majina ya kike au kiume?Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Max na Mark majina ya kike au kiume?Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
Kwa uelewa wangu ni ya kiumeMax na Mark majina ya kike au kiume?
Najaribu kufikiri majina kama Max, na Mark kuyapa sifa ya lesbianHivi atakubali ikitokea mwanae anakuwa lesbian?
Yeye bado ni majority shareholder, ndo anamiliki hisa yingi kuliko individual yeyote sema last year alitangaza kuwa anataka kuzigawa karibu zoteHivi huyu jamaa si aliuza hiyo FB? Au aliuza hisa tu? Na kama hisa yeye ana hisa %?
Yeye bado ni majority shareholder, ndo anamiliki hisa yingi kuliko individual yeyote sema last year alitangaza kuwa anataka kuzigawa karibu zote
Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
Asante sana mangataramshana jr,
Nakuunga mkono na nadhani huyo Msolo ndo kabugg. Max ni kidume wala si jike. Tatizo ni kuwa, hata hiyo kiu ya babake kwenye ushoga, siamini kuwa yeye ni swafi.
Mtoto hutengenezwa tu, aweza kuwa ni mdogo wake kwa midume wenzake. Kupigia chapuo kote huko, huyo mtu si swafi.
Nadhani jina ndio limewachanganya, ila Mark na mkewe wamepata mtoto wa kike na si wakiume!mshana jr,
Nakuunga mkono na nadhani huyo Msolo ndo kabugg. Max ni kidume wala si jike. Tatizo ni kuwa, hata hiyo kiu ya babake kwenye ushoga, siamini kuwa yeye ni swafi.
Mtoto hutengenezwa tu, aweza kuwa ni mdogo wake kwa midume wenzake. Kupigia chapuo kote huko, huyo mtu si swafi.
Hiki ndio ulipaswa kukisema tangu awaliNadhani jina ndio limewachanganya, ila Mark na mkewe wamepata mtoto wa kike na si wakiume!
Pitia hii link: A letter to our daughter
Ni kweli mkuu mtoto ni wa kikeHaya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
Usiseme hivyo kabebi kangu miaka 4 ndo kapo huko ila ni level stageAnapigishwa kitu kizito cha physics ambacho huku kwetu miaka 4 anapigishwa a e i o u
Kuna watu wenye nguvu wapo nyuma n Yuma yake wana washinikiza watu maarufu kutangaza ushoga ili kutimiza azma yao ukikaidi usishangae ukapotea kwenye soko!! Kwani yupo wapi Asheem Thabeet?Inauma na kuumiza unapoona baba yake anafadhili na kuhamasisha hivyo vitendo utadhani wazazi wa hao vijana wanapenda watoto wao wawe mashoga
Inaumiza sana hii kwakweli hasa kwa sisi wenye watoto wa kiumeKuna watu wenye nguvu wapo nyuma n Yuma yake wana washinikiza watu maarufu kutangaza ushoga ili kutimiza azma yao ukikaidi usishangae ukapotea kwenye soko!! Kwani yupo wapi Asheem Thabeet?
Umekariri mkuu "shoga" inayotafsirika "gay" kwa kiingereza inaweza ikatumika kwa jinsia zote ila lesbian ndo kwa wanawake tu ni vile tu nadhani kwetu huku huenda mapenzi ya jinsia moja yalianzia sanasana kwa me ila yuko sahihiUmekurupuka Mkuu, huyu mtoto ni wakike, umakini kabla ya kutoa yako maoni unahitajika.