Mshana jr hapo umetumia kanuni gani? baba anapigia upatu ushoga lakini hapractice. Mtoto ndiye atapractice? Sio lazima.Inauma na kuumiza unapoona baba yake anafadhili na kuhamasisha hivyo vitendo utadhani wazazi wa hao vijana wanapenda watoto wao wawe mashoga
Inawezekana nisieleweke hapa lakini nilichoandika nilimaanisha kwenye KARMAMshana jr hapo umetumia kanuni gani? baba anapigia upatu ushoga lakini hapractice. Mtoto ndiye atapractice? Sio lazima.
BTW ulishasoma kitabu cha THIRTY YEARS AMONG DEAD BY DR. CarlA.Wikland ? Kama bado kitafute.
Pamoja Mkuu!Hiki ndio ulipaswa kukisema tangu awali
Usiseme hivyo kabebi kangu miaka 4 ndo kapo huko ila ni level stage