Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,630
- 1,945
Mshana jr hapo umetumia kanuni gani? baba anapigia upatu ushoga lakini hapractice. Mtoto ndiye atapractice? Sio lazima.Inauma na kuumiza unapoona baba yake anafadhili na kuhamasisha hivyo vitendo utadhani wazazi wa hao vijana wanapenda watoto wao wawe mashoga
BTW ulishasoma kitabu cha THIRTY YEARS AMONG DEAD BY DR. CarlA.Wikland ? Kama bado kitafute.