kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa Tanzania tuna ingiza watalii wachache ambao no milioni 3.6 kwa mwaka kwa mujibu wa waziri wa utaalii na maliasili dkt ashatu kijazi alipotoa bajeti bungeni mwaka huu
Waziri Ashatu Kijaji akitoa Bajeti Bungeni Dodoma Mei 2026 alisema ukijumlisha na watalii wa ndani (Watanzania wanaotembelea Mbuga)dipo inakuwa:
Jumla Milioni 5.93(2.29 wa ndani + 3.64 watalii wa nje)
Hii Ni idadi ndogo ukilinganisha na vivutio tulivyonavyo
1. Serengeti National Park
2. Ngorongoro Crater
3. Kilimanjaro National Park
4. Tarangire National Park
5. Lake Manyara National Park
6. Mikumi National Park
7. Ruaha National Park
8. Nyerere National Park (Selous)
9. Arusha National Park
10. Gombe National Park
11. Mahale Mountains National Park
12. Mkomazi National Park
13. Saadani National Park
14. Zanzibar (Stone Town, Nungwi, Paje, Kendwa)
15. Mafia Island
16. Pemba Island
17. Mlima Kilimanjaro
18. Mlima Meru
19. Ol Doinyo Lengai
20. Ziwa Victoria
21. Ziwa Tanganyika
22. Ziwa Nyasa
23. Ziwa Natron
24. Olduvai Gorge
25. Kondoa Rock Art
26. Kilwa Kisiwani
27. Bagamoyo Historical Sites
28. Udzungwa Mountains
29. Kitulo National Park
30. Burigi-Chato National Park n.k
Waziri Ashatu Kijaji akitoa Bajeti Bungeni Dodoma Mei 2026 alisema ukijumlisha na watalii wa ndani (Watanzania wanaotembelea Mbuga)dipo inakuwa:
Jumla Milioni 5.93(2.29 wa ndani + 3.64 watalii wa nje)
Hii Ni idadi ndogo ukilinganisha na vivutio tulivyonavyo
1. Serengeti National Park
2. Ngorongoro Crater
3. Kilimanjaro National Park
4. Tarangire National Park
5. Lake Manyara National Park
6. Mikumi National Park
7. Ruaha National Park
8. Nyerere National Park (Selous)
9. Arusha National Park
10. Gombe National Park
11. Mahale Mountains National Park
12. Mkomazi National Park
13. Saadani National Park
14. Zanzibar (Stone Town, Nungwi, Paje, Kendwa)
15. Mafia Island
16. Pemba Island
17. Mlima Kilimanjaro
18. Mlima Meru
19. Ol Doinyo Lengai
20. Ziwa Victoria
21. Ziwa Tanganyika
22. Ziwa Nyasa
23. Ziwa Natron
24. Olduvai Gorge
25. Kondoa Rock Art
26. Kilwa Kisiwani
27. Bagamoyo Historical Sites
28. Udzungwa Mountains
29. Kitulo National Park
30. Burigi-Chato National Park n.k