Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
2,169
Reaction score
3,297
Tangu juzi nikiwa na VPN nilikuwa naweza kupata huduma ya mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp ila kwa leo imegoma.
Kuna njia nyingine?
 
Tangu juzi nikiwa na VPN nilikuwa naweza kupata huduma ya mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp ila kwa leo imegoma.
Kuna njia nyingine?
Ingia google Donwload apkpure install then kupitia hiyo download turbo vpn free trial 7 days after that utalipa dollars 11 kwa mwezi
 
Ingia google Donwload apkpure install then kupitia hiyo download turbo vpn free trial 7 days after that utalipa dollars 11 kwa mwezi
Safi imefanya kazi poa sana
 
Sijaona vpn imeshindwa kuAccess whatsapp. Labda unatumia vpn dhaifu.

Tumia
Turbo vpn
Vpn proxy master free
Vpn super
 
sijawahi kutumia VPN tofauti na PROTON kuanzia kwenye PC mpaka kwenye simu na mwendo ni 4g
 
IMG-20201030-WA0000.jpg
 
Ttcl wenyewe wana Vpn, sidhani kama Kuna Kampuni kubwa Hapa Tanzania isiyo na Vpn.

VPN zinatumika sana. Basically mifumo karibu yote ya serikali na taasisi kubwa kama Bank, Ngos, na mashirika yote yenye sensitive data wanatumia VPN (hadi za Cisco) , wengine wanatumia sio tu kwenye PC bali hadi kwenye simu za wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom