Inabidi kuwa hivyo chimbo letu likiwa na wachache tunaofaidika ndo sisi unakaa kijiweni unatema Nondo au chuo watu sahivi mtaani wananiogopa eti Mimi Nina Akili Sana kumbe ni Nondo za umu ahsante JFTangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo...
Hahahaha kwani wewe huna akili mkuu? Au huna akili sana???Inabidi kuwa hivyo chimbo letu likiwa na wachache tunaofaidika ndo sisi unakaa kijiweni unatema Nondo au chuo watu sahivi mtaani wananiogopa eti Mimi Nina Akili Sana kumbe ni Nondo za umu ahsante JF
So madini yapo ila yamepungua??JF bado ina madini ila ilikuwa na madini zaidi kipindi 2008 kuelekea mpaka 2017. Kila jukwaa lilikuwa na amsha amsha. Huko teknolojia kulikuwa na akina @njuva mavoko Tigo waliipatapata na internet yao. Wakiziba hapa panazibuka pale.
Documents za siri za serikali full kuvujishwa humu na watu kuzijadili. Ilikuwa ya moto kweli kipindi hicho na ikanishawishi kujiunga mwaka 2010 kwenye uchaguzi wa awamu ya pili ya JK kwa mada zilizokuwepo.
Kwa upande wangu si ya moto kama zama hizo. Sema inawezekana ni uzee tu na kukalili si kila zama utasikia zamani ilikuwa hivi ilikuwa vile kuliko sasa.So madini yapo ila yamepungua??
Akili ninazo Safi sema hapa zinajibusti maana unakutana na Great thinkers na wasomi ,wafanyabiashara wakubwa mawaziri Rais wa nchi n.k so hapa Safi Sana mtaani ni ngumu Kupata wasaa wa kupiga story na waziri lkini JF kawaidaHahahaha kwani wewe huna akili mkuu? Au huna akili sana???
Huko mtaani ulipo wote mtakua ni mazuzuInabidi kuwa hivyo chimbo letu likiwa na wachache tunaofaidika ndo sisi unakaa kijiweni unatema Nondo au chuo watu sahivi mtaani wananiogopa eti Mimi Nina Akili Sana kumbe ni Nondo za umu ahsante JF
Huko mtaani ulipo wote mtakua ni mazuzu
Jf ukiwa na followers 5 humu wewe starWengi hawawezi Kuitumia coz hawapendi kusoma vitu virefu, pia hakuna sehemu ya kujionyesha. Wanataka wapost picha zao wapate likes na followers
Twende kwa mifano halisi, ni nondo gani unazipata humu ambazo huko mtaani hawazijui?Sio kweli Mkuu Hakuna zuzu
Hao wanaokuambia na wewe wote mtakua mazuzu. Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa.Mimi huwa wananiambia ni usalama wa Taifa maana nina taarifa kibao za mikoa yote pamoja na siri zote za vyama vya upinzani na sisiem....
Hao wanaokuambia na wewe wote mtakua mazuzu. Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa.
Kwa kuwa kuwa usalama wa taifa sio sifa wala sio issue sana kwenye kundi la werevu.
hata MATAJIRI wapo wachache duniani.Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo".
Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million, threads 1 million, na member laki sita. Kama mtu anavoshinda instagram siku nzima na mimi ni hivyo hivyo JamiiForums.
Je, tatizo ni nini maana JamiiForums sio popular kabisa among people.