Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

PUMBAVU.

Wewe ni nani uje udandie comment yako huku unaacha matter call wazi hivi?

Aya haraka yarudishe ndani kabla sijakasirika
Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa, huu ni ukweli mchungu.

Ni wapumbavu hupenda kuita watu hivyo, na huwaita hivyo wapumbavu wenzao kisha hao wapumbavu hufurahia
 
hata MATAJIRI wapo wachache duniani.

Kwahiyo hata sisi humu tukiwa wachache ni poa sana unafahamiana na mswahili mwizio anakupa darasa la kutosha.

INSTAGRAM fake life na maudaku ya kutosha. ELIMU SIHABA mana kuna maclip ya HUSTLERS,MOTIVATION NA JOKES PIA.

FACEBOOK miandiko ya kitoto vijembe vya kitoto yani ilimladi tu mtu ajulikane yupo Facebook ELIMU NI CHACHE FACEBOOK

TWITTER
Kule majibu ya shombo na maswali ya kiwaki ila darasa lipo kwenye SPACE zao tu mtu akiwa na mada zuri.

MTAANI KWETU SASA.
humu kuna madini ya aina yote sijui dini sijui shetani sijui kula tunda kimasihara yani daah salute sana MKULUGENZI WETU
JAMII FORUM for life
I agree with u
 
Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa, huu ni ukweli mchungu.

Ni wapumbavu hupenda kuita watu hivyo, na huwaita hivyo wapumbavu wenzao kisha hao wapumbavu hufurahia

HOVYOOOOO

HUJIELEWI WEWE NA KUJIKUTA UNA BUSARA KUMBE POYOYO TU
 
Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo".

Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million, threads 1 million, na member laki sita. Kama mtu anavoshinda instagram siku nzima na mimi ni hivyo hivyo JamiiForums.

Je, tatizo ni nini maana JamiiForums sio popular kabisa among people.
Respect
 
Kumbe jf napo hua kua followers!
Hili wala silijui,ndio kwanza nasikia kwako mkuu,
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
Kumbe jf napo hua kua followers!
Hili wala silijui,ndio kwanza nasikia kwako mkuu,
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
mbona wewe una followers 21 inamaana ulikuwa upat notification
 
Mimi huwa wananiambia ni usalama wa Taifa maana nina taarifa kibao za mikoa yote pamoja na siri zote za vyama vya upinzani na sisiem

mpka kifo cha mkuu wa sukuma gang hizo tetesi ninazo

yani nikikaa na watu hakuna mada wataanzisha nisichangie kwa urefu na ufafanuzi mzito mpka wanabaki wanaduwaa

JF ilikuwa tamu zamani sasa hvi inaboa kiasi kwasababu ya wapumbavu wanaoharibu

mfano
mtu anaanzisha uzi eti sijui anampenda member fulani au eti kaaota kakutana na member flani

UJINGA MTUPU
Hua wanakwambia wewe ni usalama wa taifa gani?
 
hata MATAJIRI wapo wachache duniani.

Kwahiyo hata sisi humu tukiwa wachache ni poa sana unafahamiana na mswahili mwizio anakupa darasa la kutosha.

INSTAGRAM fake life na maudaku ya kutosha. ELIMU SIHABA mana kuna maclip ya HUSTLERS,MOTIVATION NA JOKES PIA.

FACEBOOK miandiko ya kitoto vijembe vya kitoto yani ilimladi tu mtu ajulikane yupo Facebook ELIMU NI CHACHE FACEBOOK

TWITTER
Kule majibu ya shombo na maswali ya kiwaki ila darasa lipo kwenye SPACE zao tu mtu akiwa na mada zuri.

MTAANI KWETU SASA.
humu kuna madini ya aina yote sijui dini sijui shetani sijui kula tunda kimasihara yani daah salute sana MKULUGENZI WETU
JAMII FORUM for life
Uongo mkubwa, mitandao yote mikubwa Ina hizo sifa. Kazi kwako kuamua unafuata yapi. Hata insta na fb kuna pages nyingi ultu za madini ya kila aina. Umemfollow mwijaku, unategemea nini?

Hayo uliyosema jf yapo tena ni mengi mno, Kama uzushi basi humu ndio sehemu yake. Kama utoto humu ndio sehemu yake pia, Kama ni vijembe Kama ulivyosema twitter humu napo ni mahala pake
 
mbona wewe una followers 21 inamaana ulikuwa upat notification
😀😀😀😀

Mkuu nimecheka sana aisee,unaweza kuona nazingua ila ukweli ni kwamba ni kweli hilo nilikua silijui.
Sasa hao followers unawatizamia wapi? na faida zake ni zipi mkuu?
 
Umejiunga 2023 Januani. Hongera. Sasa hii si Jamiiforums tunuyoijua. Imechuja sana. Ni sawa na gazeti la RAIA MWEMA lichukuliwe na Serikali.
Jamiiforums ilikuwa na vigongo vigongo kweli kweli. Ilikuwa inaibua inaibua taarifa za siri mpaka ukisoma moyo unasimama kwa muda. Jamiiforums ilikuwa ikiandika umeandika kweli.
Baadaye watumishi wa serikali wakazuiwa kujiunga au ku comment. Mkurugenzi Maxence akatiwa misukosuko. Kama kawaida ukishatiwa misukosuko hurudi na hali ya zamani. Sasa wanachujua kinachoenda mtandaoni.
 
😀😀😀😀

Mkuu nimecheka sana aisee,unaweza kuona nazingua ila ukweli ni kwamba ni kweli hilo nilikua silijui.
Sasa hao followers unawatizamia wapi? na faida zake ni zipi mkuu?
Faida ni kwamba unajua tu kuna watu wanakufollow sana yaani wanakukubali kinymaaa

Ukitaka kuwa angalia kweny web uonu ila kwenye app unawaona
 
Attachments

  • 1909D549-C0AF-4BAB-93BA-B1F022CF80FD.png
    1909D549-C0AF-4BAB-93BA-B1F022CF80FD.png
    20.1 KB · Views: 2
HOVYOOOOO

HUJIELEWI WEWE NA KUJIKUTA UNA BUSARA KUMBE POYOYO TU
Kwa uandishi huu umeweka wazi nililosema ni sahihi.

Mwerevu hawezi kuandika "HOVYOOOOO"

Ndio maana umeona ni sifa kuitwa usalama wa taifa na mazuzu wachache. Niliwahi kukutana na zuzu mwenzio mmoja hivi kuna siku alisema wewe utakua usalama wa taifa, nilimuangalia sana mwisho nikamuuliza una elimu gani? Kuzungumza na wewe hivi kunahusiana vipi mimi kuwa usalama wa taifa?

Tafuta intellectuals, zungumza nao mambo mbalimbali alafu uone hata siku moja kama watakuita usalama.
 
watanzania ni wadaku wa vitu vile vile vya siku zote, sepetu amekula nin, Diamond amemfanya nin zuchu, ni ivyo tu ndio tunavifuata insta na face sabab pia picha na vd zinaonekana. NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS
 
Ukitaka kuwajua watanzania na akili zao nenda kwenye app ya mange kimambi. Kule ndipo madini wanayotaka yalipo. Wao wanataka kusikia skendo ya nani kafanya au kafanywa nini leo.

Ila sio waje kujadili kwann serikali imeweka tozo kubwa au kwann matumizi ya hovyo ya kodi za wanainchi wa taifa hili hayachukuliwi hatua kali za kisheria.
 
watanzania ni wadaku wa vitu vile vile vya siku zote, sepetu amekula nin, Diamond amemfanya nin zuchu, ni ivyo tu ndio tunavifuata insta na face sabab pia picha na vd zinaonekana. NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS
Hiyo vitu vya kina diamond huku hakuna?

Alafu insta unapata vitu vya aina fulani kulingana na uliowafollow. Ni kama jf, wewe kila muda unaingia jukwaa la celebrities ni lazima tu ukutane na wadaku na udaku
 
Siku hizi madini yamepungua, kuliko zamani. Jaribu kufungua nyuzi za nyuma mijadala ilikuwa ya kistaarabu sana tofauti na sasa.

Ni heri tuendelee kuwa wachache kadri watu wanavyokuwa wengi ndo mambo yanaharibika ingawa ni faida kwa wamiliki
 
Uongo mkubwa, mitandao yote mikubwa Ina hizo sifa. Kazi kwako kuamua unafuata yapi. Hata insta na fb kuna pages nyingi ultu za madini ya kila aina. Umemfollow mwijaku, unategemea nini?

Hayo uliyosema jf yapo tena ni mengi mno, Kama uzushi basi humu ndio sehemu yake. Kama utoto humu ndio sehemu yake pia, Kama ni vijembe Kama ulivyosema twitter humu napo ni mahala pake
Kunywa kahawa upoze akili kwanza mkuu
 
Mimi kwangu JamiiForums Ndio mtandao bora kabisa umenipa madini Sana na iv hauna ma picha picha ni nondo tu …insta na Fb ninazo Sababu ya biashara tu yan kupost bidhaa na kuwasiliana na wateja nje ya apo uwa situmii time Sana ata nikibadirishaga sim app ya kwanza ku download n Jf ….ASANTE JF
 
Back
Top Bottom