JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Alisikika aliye mferejini akinena hayo
Lakini nauli zilipanda kwa sababu ya mafuta.Baada ya bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee...
Ndio wamiliki wenyewe hao,Wajinga hawa wanataka kufanya wananchi kuumia kwa kujali matumbo yao
itakuwa wameshusha mashetaniSasa hapo kwenye mafuta wameshusha Nini???
2990Yameshuka hadi kiasi gani kwa lita ya petroli hapa Dar?
Nchi ina wahuni sana hiiSipingani na Uamuzi wa LATRA kutokushusha nauli, lakini sababu aliyotoa huyo Mkurugenzi naweza kusema haijakaa kisomi.
Maana wakati wa Upandishaji wa Nauli, sababu kuu ya LATRA huwa ni Gharama za mafuta..