KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea.

Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni wengi na wote wanalipia lakini huduma muhimu kama ya choo haizingatiwi kufanyiwa maboresho.
photo_2025-05-26_08-33-18.jpg

photo_2025-05-26_08-33-17.jpg

photo_2025-05-26_08-33-15.jpg

photo_2025-05-26_08-33-14.jpg
 
mia africa hasa mitanzania ndivyo tulivyo. sasa hapo mpaka samia aje kusafisha?
 
Na hapo kutumia choo unalipia.

Ila mambo ndio kama hivyo.
 
Back
Top Bottom