Licha ya mapigo ya COVID-19 kwa shughuli za kiuchumi nchini Kenya, 2020 Kenya iliuzia Tz bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya ilizoagiza

Licha ya mapigo ya COVID-19 kwa shughuli za kiuchumi nchini Kenya, 2020 Kenya iliuzia Tz bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya ilizoagiza

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. 🙂

Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie tukiwa kwenye 'lokudauni' wao walime na kupanda kwa nguvu, kisha tukija watuuzie kwa bei watakazotaka.

Kenya EXPORTS to Tanzania 2020: US$ 294.94Million.
Kenya IMPORTS from Tanzania 2020: US$ 258Million.
Balance of trade- US$ 37Million in favour of Kenya.
Takwimu kutoka kwa UN COMTRADE database on international trade.
 
Naona ile kwaya ya 'tunailisha Kenya',inapita kimya kimya. Wakiongozwa na Sopranoist wao mpendwa eliakeem. 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23]



Kenya has lost footing in its main export market in Uganda, losing out to Tanzania in the wake of long-drawn trade feuds between Nairobi and Kampala.

 
[emoji23][emoji23][emoji23]



Kenya has lost footing in its main export market in Uganda, losing out to Tanzania in the wake of long-drawn trade feuds between Nairobi and Kampala.


So according to you Uganda export/import more through Dar than Mombasa!!!
 
Nchi ya ukame, njaa na jangwa inauza zaidi kwa nchi ya asali na maziwa eti?.., watasema wazungu wanawaonea, kwamba hiyo ni repoti iliyo andikwa na mabeberu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hivi tunaimport mazao gani kutoka Kenya?

Vitu km madawa na vyuma tumeimport zaidi Kenya badala ya China ni kwa sababu ya Covid. Naamini mwaka huu ambapo China, India na nchi nyinginezo zimefungua mipaka, tunaimport less sana kutoka kenya
 
So according to you Uganda export/import more through Dar than Mombasa!!!
Swala sio hapa haihusu njia ambayo bidhaa imepita kwenda Uganda ,hoja ni kwamba umepoteza soko lako kuu kwa Tzn.Tzn vs Kenya tumekuwa net impoter siku zote ila saizi tumepokonya soko lenu.
 
Hivi tunaimport mazao gani kutoka Kenya?

Vitu km madawa na vyuma tumeimport zaidi Kenya badala ya China ni kwa sababu ya Covid. Naamini mwaka huu ambapo China, India na nchi nyinginezo zimefungua mipaka, tunaimport less sana kutoka kenya
Eti mazao? Hiyo ni fani yenu sio ya Kenya. Hebu bofya hapo kwenye link uone bidhaa ambazo Kenya inauzia Tz ni purely kutoka kwa viwanda. Vyuma, Lubricants, plastiki, sabuni n.k. Pharmaceuticals, yaani madawa ndio yanachukua asilimia kubwa ya thamani ya exports za Kenya kuelekea Tz.

Alafu kwa taarifa yako kabla ya janga la COVID, mwaka wa 2019, Tz ilivunja rekodi ya miaka sita kwa kununua bidhaa nyingi zaidi kutoka Kenya. Licha ya figisu na chuki za mwendazake dhidi ya Kenya.
 
Baada ya kuzuia bidhaa za Tanzania kuingia Kunyaland! Unajitamba upumbavu sio?
Upumbavu ni hizi kelele zako. Ukizingatia kwamba nchi ya Tz ndio ina vikwazo vingi zaidi vya kibiashara dhidi ya bidhaa kutoka Kenya. Tutaendelea kuwanyorosha kibiashara mzee, kama ilivyo desturi tangia enzi hizooo.

Kumbuka kwamba ukanda huu wote wa Afrika Mashariki na ya Kati hakuna nchi hata ambayo inauzia Kenya bidhaa nyingi zaidi ya inazoagiza kutoka Kenya. Sio siri kwamba viwanda vya Kenya ndio 'backbone' ya uchumi wa A.M.
 
you know its surprising that these Bongolalas think that somehow it's a bad thing for Kenya that Tanzania for 1Q has exported more to Uganda than Kenya. but then again these are Bongolalas I shouldn't be surprised their cognitive abilities aren't the sharpest

this is what we've been preaching to you idiots about an open common market. there's plenty of opportunities for everyone. tanzania can provide the agricultural sector and natural resources, Kenya handling the manufacturing and financial services, Uganda due to its proximity to Kenya tanzania DRC Rwanda and South Sudan can be the logistics hub of the region.

there's plenty for everyone you just have to be bold and don't be scared.

magufuli tried the outdated methods and he failed miserably. Samia will drag you people kicking and screaming into the globalized way of trading
 
Back
Top Bottom