Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.

Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma

Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.

Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina Mzize wasiokuwa na sauti?

Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?

Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
 
Ila ndio team yenye wachezaji wanaojituma zaidi uwanjani
Nachojua ni kuwa Kuna bidii kubwa sana inayofanyika kuitoa Yanga kwenye rail ili Simba au azam wachukue kombe bidii kubwa sana ndani na nje ya uwanja kma ilivyokuwa msimu uliopita ila ndio sio rahisi
 
Kume kuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.

Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma

Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.

Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?

Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?

Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Yanga ni timu ya majini iliyo chini ya uongozi wa Mze Mpili na kabla ya hapo ilikuwa chini ya majini ya Mze Akilimali
 
Kume kuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.

Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma

Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.

Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?

Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?

Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Yote hayo yalianza baada ya Yanga kusaini Aziz Ki kwa gharama kubwa.

Kwani huwa wanasaini mikataba bila kuisoma? Mimi nadhani tatizo ni kukosekana kwa usiri wa mikataba na wivu.

Unakuta mtu amesaini kataba wake na anaufurahia, lakini akishagundua kuwa mwenzie kapata mkataba mnono zaidi, basi anaanza kuchukia na kuanza malalamiko.

Sina uhakika kuhusu Morrisona na Mayele, ila Feisal, Bangala, na Shaban Djuma ni mifano ya wazi kwa hilo kutokana na kulinganisha mikataba yao na ule wa Aziz Ki- Feisal alifikia kulifanya swala la uzawa.
 
Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.

Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma

Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.

Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?

Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?

Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Kwani huwa wanashikiwa bunduki kusaini mikataba? Je matakwa ya mikataba yao hayatekelezwi? Taasisi lazima ijipiganie na sio kuendeshwa na wachezaji, kama Chama anavyofanya.
 
USIPOWEZA KUMSAJILI NA KUMTUNZA PROFESSIONAL PLAYER,WEWE BADO HUNA LA KUONGEA MTAANI KUHUSU MPIRA WA MIGUU.
 
Expensive life.

Inamaana Mwijaku anatembea na brand yako mkuu?????

Expensive life hahaaaaa
 
Mayele hajali kutukanwa siku hizi naona ameamua kama mbwai iwe mbwai...kwani alifanywajwe?? Au wivu tuu
 
Back
Top Bottom