Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Yanga ni timu ya majini iliyo chini ya uongozi wa Mze Mpili na kabla ya hapo ilikuwa chini ya majini ya Mze AkilimaliKume kuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.
Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma
Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.
Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?
Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?
Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Yote hayo yalianza baada ya Yanga kusaini Aziz Ki kwa gharama kubwa.Kume kuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.
Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma
Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.
Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?
Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?
Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Kwani huwa wanashikiwa bunduki kusaini mikataba? Je matakwa ya mikataba yao hayatekelezwi? Taasisi lazima ijipiganie na sio kuendeshwa na wachezaji, kama Chama anavyofanya.Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.
Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma
Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wakimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.
Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina mzize wasiokuwa na sauti?
Kwa maana ukiongea ukweli wewe tayari ni adui, ni nani atakusikiliza?
Hawa viongozi wetu ni wema sana mbele ya camera ila nyuma ya camera ni watu hatari sana. Ogopa
Sijanywa chai mkuu, fanya mpango hata buku mbili hapo. Kitaani kugumuExpensive life.
Inamaana Mwijaku anatembea na brand yako mkuu?????
Expensive life hahaaaaa